The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Feb 24, 2014 #21 utafiti said: Kama hadi mama na baba wameingia kwenye hiyo 90% yako, so kina nani wamo kwenye 10% ambao na wakweli? Click to expand... Si ndio hapo, yaani Baba na Mama niwaweke kwenye 90% eti yeye ni muweke kwenye 10%. Tena anawaita wazushi wakubwa!
utafiti said: Kama hadi mama na baba wameingia kwenye hiyo 90% yako, so kina nani wamo kwenye 10% ambao na wakweli? Click to expand... Si ndio hapo, yaani Baba na Mama niwaweke kwenye 90% eti yeye ni muweke kwenye 10%. Tena anawaita wazushi wakubwa!
Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,848 Reaction score 2,741 Feb 24, 2014 #22 hii ndio hasara ya kuishi kwa mashaka, na muongo siku zote huamini kila mtu ni muongo kama alivyo mwizi
hii ndio hasara ya kuishi kwa mashaka, na muongo siku zote huamini kila mtu ni muongo kama alivyo mwizi