Baada ya kufanya utafiti wangu Binafsi ktk Jamii yetu nimekuja kugundua kwamba sehemu kubwa sana ya mambo yanayosemwa ni Uongo na Uzushi, kuanzia mambo ya Mitaani mpaka kwenye Siasa, hivyo usiseme haukuonywa, Mtz anapokwambia kitu chochote kile usimuamini hata awe makini vipi ktk kukuelezea! Nasema usimuamini hata awe Baba yako au Mama yako, wote waongo na wazushi wakubwa!
Kuanzia wazazi Nyumbani wanadanganya kila kitu mpaka watoto mashuleni!
Yaani wewe ni muongo kiasi kwamba hata unachoandika ni uongo na hakieleweki.Baada ya kufanya utafiti wangu Binafsi ktk Jamii yetu nimekuja kugundua kwamba sehemu kubwa sana ya mambo yanayosemwa ni Uongo na Uzushi, kuanzia mambo ya Mitaani mpaka kwenye Siasa, hivyo usiseme haukuonywa, Mtz anapokwambia kitu chochote kile usimuamini hata awe makini vipi ktk kukuelezea! Nasema usimuamini hata awe Baba yako au Mama yako, wote waongo na wazushi wakubwa!
Kuanzia wazazi Nyumbani wanadanganya kila kitu mpaka watoto mashuleni!
Waliosoma elimu ya takwimu wanasema huwezi kukiwe kitu ktk fixed ratio or fixed amount mpaka uwe umefanya Exactly data analysis,
sasa wewe hiyo 90% umeitoa wapi'
Baada ya kufanya utafiti wangu Binafsi ktk Jamii yetu nimekuja kugundua kwamba sehemu kubwa sana ya mambo yanayosemwa ni Uongo na Uzushi, kuanzia mambo ya Mitaani mpaka kwenye Siasa, hivyo usiseme haukuonywa, Mtz anapokwambia kitu chochote kile usimuamini hata awe makini vipi ktk kukuelezea! Nasema usimuamini hata awe Baba yako au Mama yako, wote waongo na wazushi wakubwa!
Kuanzia wazazi Nyumbani wanadanganya kila kitu mpaka watoto mashuleni!
Katika muendelezo wangu wa kutafuta kiini cha matatizo yetu hapa Nyumbani, nimekuja kugundua kwamba Raisi wa kwanza wa Tanzania au sijui Tanganyika Mlm Kambarage Nyerere alitayarishwa na Wazungu (Waingereza) tangu enzi akiwa kijana ili aje kupewa na kukabidhiwa Nchi!
Sasa ni kwa nini nimefikia hapo, ni kwamba nimefwatilia nyendo za Mlm Nyerere nikaona kwamba alisoma Tabora Boys, Shule ambayo ilijengwa na Waingereza kwa lengo la kukuza kizazi cha Waafrika watakaoachiwa nchi pindi muda wao wa kuondoka utakapofika, yaani Watawala wetu, Tabora Boys ilianzishwa kwa kufwata Mfano wa Eton college ya huko Uingereza ambayo mpaka leo Viongozi wa nchi hiyo wengi wao wanatokea hapo!
Baada ya kutoka hapo Bw.Nyerere alipelekwa moja kwa moja Scotland kusoma kwa udhamini wa Waingereza na alipokuwa huko ndipo alipokumbana ya mambo ya Ujamaa, ambayo baadae alikuja kuyapandikiza kwenye Nchi yetu!
Baada ya kutoka huko na baada ya Waingereza kuona sasa alishaiva ndipo wakamrudisha na kumkabidhi Nchi, kinyume na propaganda tunazolishwa kwamba Bw.Nyerere alileta Uhuru, ukweli ni kwamba alitayarishwa ali aje apewe kwa malengo ya kulinda na kutetea maslahi ya Wazungu (Waingereza) kazi ambayo aliifanya vizuri sana na mpaka leo watawaala wetu wanaiendeleza...
Kwa mujibu wa utafiti wako, inamaanisha hata hii hapa chini nayo ni uongo?
Ukisoma vizuri utaona kwamba nimeandika Asilimia 90% na SIYO 100% ni Waongo, nafikiri kuna tofauti hapo!

........ Mtz anapokwambia kitu chochote kile usimuamini hata awe makini vipi ktk kukuelezea! Nasema usimuamini hata awe Baba yako au Mama yako, wote waongo na wazushi wakubwa!
Kuanzia wazazi Nyumbani wanadanganya kila kitu mpaka watoto mashuleni!
Mtafiti, unajua tofauti ya 100% na 90%?
Wewe ndio una matatizo ya kuelewa kilichoandikwa; Nimeandika 90% ya Watz ni Waongo kutokana na utafiti wangu, Na SIO 100% nimeandika SIYO 100% nikimaanisha kwamba ktk hiyo 90% kuna 10% inayaobaki ambayo ndio wanasema Ukweli na mimi nimo humo kwenye hiyo 10%! sasa sijui tatizo lako wapi ktk kuelewa kilichoandikwa au vipi?
Una matatizo ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa, Nimeandika usiamini "Nasema usimuamini hata awe Baba yako au Mama yako, wote waongo" ukisoma vizuri utaona Neno WOTE linalokuchanganya limetumika kmaanisha Baba na Mama na halihusiani hata kidogo na asilimia 90% niliyoiandika, Soma utaelewa tu!