Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
Na wewe unamsubiria demu siku 90 ndo uje kumla?!Mngh!
Je, Mzigua90 kuna ukweli wowote?Je bado kuna wanawake wanatumia 90 days rule?!
Kwa maana wakipata wa(m)penzi wanakaa nae siku 90 bila kufanya nae mapenzi/ ngono/matusi? !
Kama wapo nipeni triki zenu za sasa mana sisi wahenga tunazo triki za zamani
Ingawa hapa kuna dada ananiambia inasaidia kufanya uwe mtamu zaidi maana huku chini kuna-rejuvenate na kuwa kupya pia alitumia hizi juice therapy za matunda ambazo zinasaidia kuondoa harufu ya ukeni
Bado kuna wanaume wanamvumilia demu siku 90 ndio aje alale nae baada ya siku 90 (miezi 3?!)
Hqpana siwezi kusubiri muda wote huoNa wewe unamsubiria demu siku 90 ndo uje kumla?!
Hahaha!! Money penny anashughulisha ubongo wake ati.Hahaha!, lakini Money P.
Chem chem yako ya ideas huwa haikauki kabsa!, you seem to be super creative. Sasa nimekupata vizuri toka kwenye ule uzi wako wa kuwa Celebrity. No wonder you're an Enterprenuer.
Jibu weweWaje
Hahahahaha uuuwi vbaya ivyo Mungu anakuonaManaina .wiki tu kama hatak namkimbia
Hahaha3months ni drama za kikorea???