9 Most racist Countries in the World

Kuna dada alkuwa china,anasema wakat wa joto wachina hawapend kukaa karibu na watu weusi kwenye vyombo vya usafir,na ikitokea amekaa karibu na mtu mweus huziba pua

sasa mkuu kama tunanuka unataka watu wasizibe pua? mbona tunapenda kulialia sana
 
S
Sikubaliani na utafiti huu. Wazungu wamejipendelea!! Ubaguzi wa rangi zaidi uko Marekani. Uholanzi inafuatia kwa mbali, kisha ujerumani! Wachina pia wabaguzi sana huko kwao!!
 
Marekani ubaguzi hadi watu wanauliwa kirahisi tu, ili mradi tu ni mweusi!
 
Kuna mjerumani alikuwa mwanza akaoa mtanzania, walipokwenda likizo huko ujerumani yule mwanamke wa kitanzania alijuta sana! Watu wakiwatembelea hawaongei naye wanaishia kuongea na mume wake tu!! Hata ndugu wa mume ndo kabisa hawana habari naye!
 
 
View attachment 2099710Kwenye iyo picha huyo kobaaz mzee mpalestina aliyebebwa mabegani anang'aka kwa jazba balaa wakati yenyewe ndo mabaguzi
Waarabu ni washenzi saana, fanya tafiti ukiona kuna kipngozi wa mweusi uarabuni serikalini niite mbwa..waarabu ni wabaguzi saana

Italy kuna weusi kibao, hata kuna waziri mwanamke alikuwa ni mwabamke black black...

Wazungu pamoja na madhaifu yao ...kuna vitu wapo sawa, nchi zilizotajwa onesha ngozi nyeusi mwenye rank kubwa serikali...UK hadi sasa wanaongozwa na muhindi

Waarabu nchi yao yoyote ile haina ngozi nyeusi sembuse awe ukiachana na dini

Uarabu unaanzia kwenyw dini ya uisilim ndio ubaguzi mkuu kwa philosopy yao kuwa kama ww sio musilim means ww ni kafiri..warabu ndio waasisi wa ubaguzi duniani
 
Kuna mjerumani alikuwa mwanza akaoa mtanzania, walipokwenda likizo huko ujerumani yule mwanamke wa kitanzania alijuta sana! Watu wakiwatembelea hawaongei naye wanaishia kuongea na mume wake tu!! Hata ndugu wa mume ndo kabisa hawana habari naye!
Kuna dada rafiki yangu ameolewa na muhindi,kuna wakati yule mhindi akaenda India na mke wake na watoto,walivyorudi yule dada aliniambia kuwa mume wake hakumruhusu kwenda naye nyumbani kwao,bali alimuacha hotelini na watoto wake hadi alipokuja kuwachukua na kurudi nao tanzania
 
Kwanini umesahau Tanzania?
 
Yaani sisi weusi tulipokataa tamaduni zetu na kukumbatia upuuzi wa waarabu na wazungu tukakosa kila kitu yaani dini siyo zetu tunajipendekeza lakini wapi wenye dini zao bado wanatuona mabwege na hasa pale unapokuta mtu mweusi anajifanya kuujua uislamu au ukristo kuliko hata waliouleta bado wanatuita majina ya ajabu ajabu unakuta mtu mweusi akivaa kanzu kutoka Saudi Arabia au joho kutoka Canterbury anajihisi yupo peponi yaani ni upuuzi juu ya upuuzi kumbe hawa mabwana walituletea dini na humo ndani wakaficha biashara
 
S

Sikubaliani na utafiti huu. Wazungu wamejipendelea!! Ubaguzi wa rangi zaidi uko Marekani. Uholanzi inafuatia kwa mbali, kisha ujerumani! Wachina pia wabaguzi sana huko kwao!!
Si bora huko ulaya weusi wapo kibao nahata kuoa ruksa nanyazifa wanapata ila nchi za asia huko sio pakukanyaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…