Hii wiki nategemea itakua mbaya sana maana wote walioingiliana na waathirika wa mwanzo ndio itakua wanatimiza wiki mbili, hivyo dalili lazima zimejionyesha, na pia hao waathirika wa mwanzo aidha watapona hii wiki au wafe maana kirusi hakikai kwa mwili zaidi ya wiki mbili.