9/11 Falling Man And Kabul Falling Men

SirAlfred006

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
560
Reaction score
1,319
Miaka ishirini baadaye.

Picha ya kushoto ukiitazama vyema utaona alama moja nyeusi.

Huyo ni mwananchi wa Afghanistan akidondoka kutoka kwenye ndege.

Picha ya kulia ni picha moja maarufu duniani. Tukio la 9/11, bwana mmoja alionekana akidondoka kutoka ghorofani. Alipewa jina 'Falling Man's

Picha hizi zimejadiliwa sana duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…