macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,181
- 60,038
Ndio maana ninasema bado siwezi kumuhukumu Muuungwana, in general maana kuna vitu kama hivi ambavyo ni plus kwa economy yetu na heshima kwa taifa letu!
ahsante mzee PM kwa hizi news!
mwanakijiji motive ya hoja yangu ya ukubwa waukumbi imetokana na fact kuwa ..ukumbi wa simba pamoja na kupanuliwa umekuwa mdogo..wajumbe walikuwa wanazidi 3,000 hopefully ..wakati ule ukumbi uwezo wake hata wajumbe 2000 ni tatizo...that was bad!!
alafu pia mjue siku hizi kwa miji ya kitalii kama arusha catalogue ni CONFERENCE TOURISM ..wageni wanapenda party ,kutembelea vivutio sambamba na mikutano ..pia ni nzuri kwa communities za pale zitafaidika na kuonesha tamaduni zao ie ngoma....fikiria mkipata mikutano angalau sita kwa mwaka ya wajumbe 10,000....yaani wajumbe 60,000 kwa mwaka ...na at least kila mjumbe analipa dola 1,200 za ushiriki na malazi ...thats a big push to economy....LAZIMA WIZARA YA FOREGN WAAMUE HARAKA KUJENGA CONVENTION CENTRE PALE AICC...hata ikibidi ile ambayo wanataka kujenga dar wangeijenga ARUSHA ....kwa kuanzia ...wageni9 wengi huvutiwa na hali ya hewwa na pia hizo opportunity za kutembelea ngorongoro,na seringeti!!!...tukichelewa nairobi watatupiga bao...maana nao wana hali inayofanana na arusha ,..na wantangaza kuwa mgeni akifika kenyatta kufanya mkutano pia napata fursa ya kutembelea seringeti na ngorongoro..ambazo zipo karibu!@
Mimi nashangaa badala yakutangaza au kukuza biashara ya TTCL wanatumia Vodacom!!!!!!!!!!!
biashara huria ... hao TTCL Walijua kabisa kuwa kuna mkutano hawakukatazwa kuomba kudhamini...infact VODACOM stole the show....
biashara huria ... hao TTCL Walijua kabisa kuwa kuna mkutano hawakukatazwa kuomba kudhamini...infact VODACOM stole the show....
That is all good PM.. but this Nyerere wa kwenye makongamano, warsha na sherehe za Chama.. Nyerere ambaye ni currency ya kununulia kura, Nyerere wa jina sidhani kama watu wanamtaka tena. Watanzania wenyewe wameshamsahau na wengine kumpuuzia.. Sidhani kama watu wangejua wangeweza kutengeneza the whole brand.. ya Mambo ya Mwalimu na kumuenzi kikweli kweli..
PM... serikali na sitoshangaa uongozi wa CCM hold MNF with contempt.. Taasisi ya Mwalimu Nyerere ingetengewa fedha na kuingizwa katika bajeti ya Bunge na kuiondoa kabisa katika adha ya kuomba omba... Lakini as long as SAS, Butiku na wengine wako pale hawatapata nafasi kwenye serikali hii.
..mwanzoni palikuwa na hayo maoni kwa baadhi ya wabunge baada ya nwalimu kufariki ..ili taasisi isibaki yatima baadhi walitaka iwe funded direct na ikulu.......hii move ilikuwa discouraged chinichini na watu kama sumaye na kikwete wakihofia kuwa ingekuwa kama kumuidhinishia SAS pesa za kufanya kampeni...
since sasa SAS hana presidential ambitions ni bora sasa ..MWALIMU NYERERE FOUNDATIONS..wawekwe kwenye budget ya serikali..hii pia itasaidia wao kupata michango kwa wafadhili ..you know charity begins at home!
Asha that is my point.. ianzishwe kwa sheria ya Bunge na kuwa chartered... na hivyo inapewa special status... Ningekuwa mimi kwenye chama cha upinzani ningeinyaka hiyo hoja na kuwaweka CCM kwenye defensive na kuwaahidi wananchi kuwa taasisi hiyo ya MNF itatengewa fedha ili ijiendeshe katika kuenzi kumbukumbu, wito, kazi, na maono ya Mwalimu Nyerere... na tena ningeandaa hata mswada binafsi... hiyo inaitwa political triangulation..
..mzee,
..pamoja na kwamba wazo ni zuri,halitasaidia kwani lita-set precedent ya makada kuja na ngo zao na kutaka funding.
..hao mnf wanahitaji fund raising skills,halafu accounts zao ziko clean kweli?
TAasisi ya Mwalimu Nyerere ni ya tofauti na inapaswa kuwa na status tofauti... isiwe na haiwezi kuwa one of the NGOs... Ni foundation yenye hadhi ya taasisi ya Bunge..
Serikali inatumia 30m dollars kwenye huu mkutano,inawapa complimentary kwenda mbugani,wao wanaongelea baba zao,Martin Luther King...Then mkutano ukiisha,wanafanyiwa party kubwa Zanzibar(Kempinski),huku Wazanzibari wenyewe wako kwenye giza.Mimi mpaka sasa hivi sijaelewa huu mkutano unatusaidia kivipi.Ingekuwa ni mara ya kwanza unafanyika Africa,ningesema labda.Sasa wale wanyamwezi kila anayehojiwa anasema he/she happy to come back home.Mbongo anajikusanya kwenda kutafuta mwekezaji....
I have been a big fan of Bush toka alivyokuja hapa.Kaja na pesa zake,katumia sana,na kuacha nyingine nyingi tu,na zitaendelea kuja.Kaja na waandishi habari wengi sana,habari za yeye kuwa huku i'm sure zilionyeshwa kwenye channel nyingi sana huko US.Mpaka taa za barabarani hapa waliamriwa waweke maeneo waliyotaka na wao walilipia.
Sullivan wamekuja kuweka daraja kati ya wamarekani weusi na waafrika...hilo daraja kwa nini halijaonyesha mafanikio yeyote west Africa walikofanya hii mikutano kabla,tufanikiwe sisi?