habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Sijui, zaidi ya kusikia tu, ndo unijuze, nianze kupitia herufi za majina ya watuHata kupitia herufi ya jina lako?
Ha ha ha wasi wasi wako tu mkuu,...usimbanie pua mwalimu utamvuruga.,somo la leo gumu!
Hapana, nisadie napitiaje herufi, jina langu linaanza Na S[emoji23] [emoji23] una lako jambo kumbe
Ukijibiwa nambie maana hiyo ndo heruf ya jina languHapana, nisadie napitiaje herufi, jina langu linaanza Na S
How jamani"?? Sijaelewa hata kidogo nimechanganya akili zangu na za kuambiwa nimetoka empty please helpUpo nyumba ya nane kati ya 12 nyumba ya nane inahusika na vizazi na vifo na mafanikio
Na kwambia huyu mshana sijui vipi anatulewesha tuHow jamani"?? Sijaelewa hata kidogo nimechanganya akili zangu na za kuambiwa nimetoka empty please help
How jamani"?? Sijaelewa hata kidogo nimechanganya akili zangu na za kuambiwa nimetoka empty please help
Mimi ni Leo na ni jua in 8th house, kwa iyo ndio inakuaje kuaje hapo mkuu.
Mwezi wako wa kuzaliwa ndio nyumba yako!nyumba zipo 12 na miezi iko 12 angalia link kati ya mwezi wako ulio zaliwa na nyota yakoNa kwambia huyu mshana sijui vipi anatulewesha tu
Ni Shida ananipa tabu kweli hapaNa kwambia huyu mshana sijui vipi anatulewesha tu
Hii fani nimeivamia tuu ngoja nijipange vema nitarejeaKwanza kabisa #mshana jr hongera kwa kujitolea kutupa mambo ambayo kiukweli huwezi kutana nayo darasani.
Pili naomba unieleweshe hiI kitu unapigaje hesabu hadi unajikuta upo Venus au Mars na kadhalika. Yaani nina maswali mengi lakini nahisi ukinijibu hilo nitaweza kujiongeza na kuelewa zaidi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji120] [emoji106]Wanamsemo wao when the Chela is ready the Guru appears....
Hivyo hivyo kwa kuvamia nami nakuvamia uwe Guru kwangu, kidogo utakachonipa nitajumlisha na rafiki Google nielewe zaidi [HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] jr
Mie najua mlango wa nane tu mshanaDuu Asanteni saana ngoja tutaendelea kuinyumbua kwa njia rahisi zaidi lakini kiufupi hii ni mbadala wa mlango wa nane. ..twendeni taratibu tutafika
Mmmh hebu nijuze maan hata nyota yangu siijuiView attachment 321590nyumba ya nane inakuwa maalum kwakuwa ndio inahusika na uzazi na kifo, bila uzazi hakuna kifo na bila kifo hakuna uzazi