Si unaona sasa hapa kidogo ufahamu unaanza kuja na utamu na tashishwi ya kutaka kujua zaidi unanijia thanks brother.
Duu Asanteni saana ngoja tutaendelea kuinyumbua kwa njia rahisi zaidi lakini kiufupi hii ni mbadala wa mlango wa nane. ..twendeni taratibu tutafikaHapo mkuu nimekupata nshaielewa shukran kwa kinielewesha
Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
Unajua kila kitu kina namna yake ..chooni ni sehemu ya haja kubwa na ndogo lakini huwezi kwenda pale na kujisaidia pembeni ati kwakuwa tu ni chooniKumbe wamjua?but mimi nampenda tu dada yangu hana matatizo penye ukweli mwepesi kusema.
Lazima ufuate tartibu za msalani vinginevyo utatengeneza khabari.Unajua kila kitu kina namna yake ..chooni ni sehemu ya haja kubwa na ndogo lakini huwezi kwenda pale na kujisaidia pembeni ati kwakuwa tu ni chooni
Aqua ni majiView attachment 321595View attachment 321596nafikiri unajua nini maana sasa ya avatar ya Mentor