and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Natafuta pesa kwa taabu Sana. Hivyo 80% lazima niifaidi binafsi. Mambo ya kusaidia sijui ndugu na marafiki mav ndo hiyo 20%
Wewe ni John sina?Mm sina
Mangi sina mbeWewe ni John sina?
Kwa waafrika asilimia kubwa tunaishi kwa kusaidiana na pengine hapo ulipofika uliwezeshwa kwa namna moja au nyingine!!!! Na pia hata mzazi wako inawezekana alisaidiwa au aliwezeshwa mpaka wewe kufika hapo hapo ulipofika.
Huwa nashangaa mke au mume kukataa kusaidia ndugu wa mwenza wake au hata marafiki pale ambapo uhitaji unahitajika!!!! Huku uwezo wa kusaidia anao..... Na hapo anasahau pengine baba au mama kawezeshwa sana misaada sana mpaka yeye anafika wakati wa kuweza kusimama mwenyewe.,.,..
Nitawezesha na kusaidia kadri ya uwezo wangu na sitatupa mtu.