.
"as approved by allien"?!! --- naona umekuwa tbs siku hizi!
Loooh, mbona wengine wana nido / matitio makubwa mno mpaka inampa mtazamaji maswali mengi ya kujiuliza. Any way, kwao huko ndiyo trend ya mambo, the bigger the breasts, the more attractive a woman is!!!
Umeona Eeh Mama Mdogo . . . wale wa mkoa wetu wa Katavi niaje?
Kwetu Katavi mambo si haba, wengi wa wanawake wa huku wana matiti size ndogo na ya kati, na wachache ndio hao wenye matiti makubwa. Nasikia huko kanda ya kaskazini ndiko makao makuu ya matiti makubwa makubwa, ila sina takwimu za kisayansi, mwenye taarifa zaidi atujuze.