Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,357
- 108,494
Game ikiisha mtuwekee msimamo wa ligi nzima kwenye uzi huuhuu!
Yanga anakwea kileleni akiwa na points 25 na mechi 13.
Anafuatia Azam points 22 na mechi 12.
Walio chini ya hapo wanacheza ligi yao.
Game ikiisha mtuwekee msimamo wa ligi nzima kwenye uzi huuhuu!
Yanga anakwea kileleni akiwa na points 25.
Anafuatia Azam points 22.
Mnatushikia tu nafasi yetu hapo kileleni, mwisho wa msimu utaona msimamo utakavyokuwa.
Hongereni yanga.
Mnatushikia tu nafasi yetu hapo kileleni, mwisho wa msimu utaona msimamo utakavyokuwa.
FT
Yanga 2 - 0 Mtibwa
Magoli yote mawili ya Yanga yamefungwa na Mrisho Ngasa dk 55 na dk 62.
Kwa matokeo haya Yanga wanarudi kileleni mwa ligi wakijikusanyia alama 25.
Ligi sio kama Mapinduzi Cup