Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Ee Mwenyezi Mungu, sifa na utukufu vikurudie kwa kuibariki na kuiwezesha timu yako ya Yanga kushinda mchezo wa leo, amen.
ewe ibilisi Shetani nakuomba endelea kuwashikilia Thimba washuke daraja msimu huu
Matokeo vipi mr
Yanga nawatakia mpakato mwema utapopakatwa na Mtibwa leo
dah bas sawa
Hahahahaaaaa nitakua nakuita tu hadi uhamie jangwani kabisa.
over my dead bodyyyyyy
Shauri zako utakufa na stress....lol
Mwenzio jana nimeumia leo nacheka tu.
😀😀