Download app inaitwa dark mode ina ki icon cha mbalamwez... yenyew itabadili supported app automatically kua dark
Apps nyingi ni za google na Instagram
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Kila simu yenye pie inasupport full dark theme, lakini pia inategemea na app ulizo nazo, app nyingi za google zina support hiyo mode.
Nafikiri ukiwa na simu za google unaweza enjoy mfano pixel 3 xl n.k
Ila nakumbuka Kuna Android 10 ndo ilipewa hizo feature.
Kama una pie test hii app
Ikikataa Basi acha kukomàasubstratum theme engine - Apps on Google Play
The most popular, modularized theming engine for the Android ecosystemplay.google.com
Imasupport simu zenye Android 9, Android 10 hasa za google.Mkuu mi nna Oreo ila nimei-download hiyo umekubali lakini ikataka ni-download app nyingine ambayo add-on itakayowezesha hiyo theme.
View attachment 1319426
Nilipotaka ku-download nikakuta hiyo ni ya kulipia mkuu...?
View attachment 1319428
Imasupport simu zenye Android 9, Android 10 hasa za google.
unaweza tumia eyeCare Kama unashida ya macho au badili simu au upgrade os yako.
Vinginevyo screen overlay app waweza zitumia kupunguza mwanga bahati mbaya u ki install app hizo Zina tabia ya kuzuia app nyingine maana hazipatani so zitakusumbua
Kwani Uzi unaongelea nini?Nini unaionaga kwenye simu mamiiii...?