bado mwanangu hujafuzu! weye bado muislamu na sio muumini! Waumini ni shehe arhum osama! Boko haram! Al qaida wale wanaosakwa mali kama minokela wanaitwaje!...
NI KWELI, NI MAGAIDI WANAOTUMIA MISAHAFU, kwa hiyo n wakristo, au ulitaka kusemaje? wanajiita waislamu wenye msimamo mkali, plato alisema mtu kama hana akili anafaa kufanya kazi za jeshi tu, ndo maana waislamu wengi wanaua kwa maana akili hamnazo angalia shule zao,
Tatizo lako dogo unaonekana shule ndogo ndio maana hapo huja elewa kitu. Umetoka patupu. Au nikupe tuition kidogo. Kwa mujibu wa Makaburu, Uingereza na Marekani, Nelson Mandela na chama chake cha A.N.C walikua wanatambulika kama magaidi. Hivyo nelson mandela akiwa kiongozi wa magaidi alifungwa kifungo cha maisha. Na wafuasi wake walikimbilia Tanzania. Nelson Mandela aka fungwa na kukaa gerezani miaka 27. Je mpaka leo status ya Mandela ni gaidi?
MZIMU hata kama unajua, unatafsiri mambo ndiyo sivyo, cheki struggle za kna mandela na mambo wanayofanya hawa Al-shabaab! u cant compare hata kdogo. nyeusi na nyeupe hazifanani..na huwezi kuzifananisha kisa zote ni rangi..Mandela was freedom fighter
Nashindwa kutofautisha kati ya Al shababu, Boko haram, Uislam na Ugaidi. Mbona hivi vitu vinashahabiana? Kwa wale waliobobea katika elimu ya dini naomba mnidadavulie tofauti husika..!
Nashindwa kutofautisha kati ya Al shababu, Boko haram, Uislam na Ugaidi. Mbona hivi vitu vinashahabiana? Kwa wale waliobobea katika elimu ya dini naomba mnidadavulie tofauti husika..!
Ni watu kama watu wengine ambao wana imani ya kiislamu. sema hawawi magaidi kwa sababu ni waislamu..pia baadhi yao ni wapagani..sio wote ni waislamu! hawaendeshwi kidini.
NI KWELI, NI MAGAIDI WANAOTUMIA MISAHAFU, kwa hiyo n wakristo, au ulitaka kusemaje? wanajiita waislamu wenye msimamo mkali, ndo maana waislamu wengi wanaua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.