Hawana tofauti kiimani, ila ni timing tu. Hata hao waliokuwa wanatoka msikitini kama wangekuwa wamewaona Al Shabab mapema, basi wao ndio wangewaua Al shababWaliouwawa ni waumini wakiislamu! sasa mkuu Funge waliowauwa ni Al shabaab..sidhani kama utakuwa sahihi kuwaunganisha na waislamu mpaka useme hvyo.
Huo wa kupigana risasi wenyewe kwa wenyewe!so mwisho ndiyo huo kupigwa risasi?
Hahaha hivi nyie wakristo mnadini nyie, si unajua hata wa Islam sio wote wanao amini Uislam, na wako wanasema Jesus hajafa yani yuko mbinguni...Yani sio wa Islam wote wanajua Jesus kisha kufa na mtu akisha kufa kafa tu.Akikosekana mkristo wa kuchinja huwa wanachinjana wenyewe kwa wenyewe
al-shabab wote ni waislam lakini si waislam wote ni aal-shabab. Kwa hiyo kama al-shabab (waislam) ndo wameuwa hao waislam 7, basi hapo ni waislam kwa waislam wameuwana. PAMOJA NA HAYO BADO HILI SI JAMBO JEMAAl-shabaab ni magaidi. na siyo waislamu wote magaidi...upo!
Al-shabaab ni magaidi. na siyo waislamu wote magaidi...upo!
Ahaaa, kumbe ni mfarakano tu na sio kumwagiana tindikali, amina.Duh umenikumbusha Ireland mfarakano wa kufa mtu kati ya catholics na protestant.
kiwatengu , sijui niseme nini hebu tazama hapa
soma kolani mpaka ufuzu kama hukujilipua, nakupa buku!Al-shabaab ni magaidi. na siyo waislamu wote magaidi...upo!
bado mwanangu hujafuzu! weye bado muislamu na sio muumini! Waumini ni shehe arhum osama! Boko haram! Al qaida wale wanaosakwa mali kama minokela wanaitwaje!...Nimesoma sana na sio kolani ni quran..na sio ufuzu ni juzuu!!