FOdd
Senior Member
- Sep 17, 2017
- 127
- 172
Gates ni namba ingine ile kwanza yuko Good sana kwenye swala la management ambalo linafanya aongoze kwa pesa Planning ni kitu good, Jobs Ni mzuri piaIla still Gates ni mchumba kwa Jobs na angekua mzima wanaestimate kwamba angekua don kuliko bill apple yenyewe si ipo kwenye top 10 ya kampuni kubwa duniani