7 sins u must never commit against a woman...

KOKUTONA tatizo ni msongamano unakuwa mkubwa,
wahitaji tumekuwa wengine kuliko watoa huduma

Yaaani full kubanwa...ukisema Bishanga ni wangu pekeangu.....wako wengine 10 wanasema nivyo hivyo.

Ya nini jasho.....ki single single ndo mpango mzima eti? Kubanana kumezidi Mamndenyi...hewa haitoshi
 
Last edited by a moderator:
Hewa haitoshi
halafu inaleta hasira,
lakini twende mdogo mdogo tu tuone.

Yaaani full kubanwa...ukisema Bishanga ni wangu pekeangu.....wako wengine 10 wanasema nivyo hivyo.

Ya nini jasho.....ki single single ndo mpango mzima eti? Kubanana kumezidi Mamndenyi...hewa haitoshi
 
Do those staffs to her so you can live peaceful"women they always hallucinate and delusions about love!
 
KOKUTONA mwenzio huwa nina wivu hata na mume wa mtu.......... semeni thatha.

Ha ha haaa leo umejua kunichekesha...dah we kiboko.....kwa hiyo unakuwa unamuonea wivu mkewe na u uki imagine vile unavompenda....dahh.
 
mfanyie yooooooote hayo mwanamke anayekupenda.., kama hajakupenda ni kazi bure, atakuacha na kwenda kwa anayempenda, hata kama hatopata treatment hizo hapo. atakuita zombi kama yule wa kongosho..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…