7 Facts Fathers Never Tell Their Sons about Women

ukwel mbn mtamu kabisaa huu? its encouraging kumbe mnasmell mpaka future? wengi wenu wanaodeal na present continous status huwa wananiudhi sana....
Present continous status nayo ni tamu ujue, usimshangae anaedeal na hiyo ashafanya calculations zake kaona hapo ndipo panamfaa, habari za kuungua juani weee baadae kivulini, wakati ana uhakika wa kivuli allready ya nini sasa!!! Kila mtu na mtuwe bwana.
 
Back
Top Bottom