Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,760 10,146 Apr 29, 2017 #2 Ikiwa inapanda mpando kama haitaki vile inadedesa tu mpaka inatoboa gia zenyewe usipokuwa makini linakuzimikia
Ikiwa inapanda mpando kama haitaki vile inadedesa tu mpaka inatoboa gia zenyewe usipokuwa makini linakuzimikia
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Aug 13, 2015 8,545 10,279 Apr 30, 2017 #5 Wasonjo wengi waliliwa na simba porini wanatandika mikeka chini wanauchapa usingizi shughuli inaishia hapo.
Wasonjo wengi waliliwa na simba porini wanatandika mikeka chini wanauchapa usingizi shughuli inaishia hapo.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 75,203 157,377 Apr 30, 2017 #6 Muitaliano wa Torino huyo