jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,780
Hahahaha.... Asante JG.... Infact Babu DC ndo alinifanya niende huko and I was Like wooow! lol
Eeeh! Kumbe leo ni mai bathdei ya kudhaliwa eh! ...Dah! Masikini miaka ndio hiyooooooooo inakwenda zake.
"Dear J'efers"
Naomba niwajuze kua hapa JF kuna watu leo ni Birthday zao..... Yaani wapo 658! Naamini ndio siku ambayo inavunja RECORD katika Mwaka Mzima wa JF kwa uwingi wa watu na Birthdays zao.... .
Wakuu woooote wenye Bithday Leo na niliotaja hapa chini Nawatakia
Birthday Njema na nawapongeza kua Mwaitimiza siku ambayo is considered as a day for
Fresh Starts in Life... New hopes... In most cases everybody is happy today....
Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Awajaalie
na kuwapa Maisha Mareeeefu!
Mamndenyi
X-Paster
YoYo
Miss America
Dark City (Mzee DC)
Bundajo
Lucky_c_Pesa
On behalf of JF Members I send warm Greetings
scented with Love to a whole bunch of You!
:flypig:HAPPY BIRTHDAY .... PEOPLE :flypig:
Pamoja saana
AshaDii
Bak mind saynig Bi mkubwa ni nani mwenye Birthday leo pia...
Oooh..this is bad, ngoja nijitahidi kuedit ma profile at least birth date na month.Rejao nimeenda kucheck profile yako.... Hamna habari ya Miaka yako pale... Ina maana hata kwenye Calender hamna. na ina maana pia kua ukitaka kujua umerecord miaka mingapi..... Only you have the authority... Mwingine hawezi.
Watu wengi wana tabia ya kusheherekea siku ya kuingia mwaka mpya, wengi upatwa na furaha na kuingiwa na kiwewe cha kuiona siku na mwaka mpya, kwa kujiona kuwa wamefaulu kuuona mwaka mwingine. Lakini wanasahau kuwa miaka inakwenda, na umri ndio unapungua.Dah! Ulikua umesahau? Happy Birthday and New Year Mkuu..... Best of Luck katika kila jambo.
Watu wengi wana tabia ya kusheherekea siku ya kuingia mwaka mpya, wengi upatwa na furaha na kuingiwa na kiwewe cha kuiona siku na mwaka mpya, kwa kujiona kuwa wamefaulu kuuona mwaka mwingine. Lakini wanasahau kuwa miaka inakwenda, na umri ndio unapungua.
Naimalizia hii kitu, utanisoma baadae kwenye ukumbi wa siasa... Mwaka Mpya Na Miungu Ya Kisiasa
coming soon... Ah ah ah ah!
Bak hivo hio ni birthday in the sense alijiunga the first of January na sio Birth Date? Au nimeelewa vibaya?
Watu wengi wana tabia ya kusheherekea siku ya kuingia mwaka mpya, wengi upatwa na furaha na kuingiwa na kiwewe cha kuiona siku na mwaka mpya, kwa kujiona kuwa wamefaulu kuuona mwaka mwingine. Lakini wanasahau kuwa miaka inakwenda, na umri ndio unapungua.
Naimalizia hii kitu, utanisoma baadae kwenye ukumbi wa siasa... Mwaka Mpya Na Miungu Ya Kisiasa
coming soon... Ah ah ah ah!
Gee...Happy New Year To You....Wewe unasherekea siku ya kuingia mwaka mpya?
Jee siku yako ya kuzaliwa unasherehekea?
Hapana ADI siku yake ya kuzaliwa ni January 1st, mwaka nanihii lol!