Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,699
Kukichwa kutapambazukaNdugu Mtanzania jiandae kufunga mkanda maana taarifa ya Waziri wa Fedha ndio inaeleza hivyo kwamba kwa mwaka huu wa fedha zaidi ya 65% ya bajeti itahakikisha madeni yanalipwa.
Chanzo: EATV
Toa maoni yako
Kuna mambo mabaya sana yanatendeka halafu raia wamebweteka tu utadhani mazuzu !
Kuna mambo mabaya sana yanatendeka halafu raia wamebweteka tu utadhani mazuzu !
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
mimi sikubaliani na bwana waziri kuhusu jambo hili. Nchemba, uliona wapi duniani watu wanatoa 65% ya bajeti kulipa madeni. mbona muna tupotosha?.Ndugu Mtanzania jiandae kufunga mkanda maana taarifa ya Waziri wa Fedha ndio inaeleza hivyo kwamba kwa mwaka huu wa fedha zaidi ya 65% ya bajeti itahakikisha madeni yanalipwa.
Chanzo: EATV
Toa maoni yako
unafanyaje sasa mkuu wenye mamlaka ndo wenye maamuzi ndo maaana wakati wa uchaguzi hadi watu wanafunga na kuomba wampate kiongozi mwenye busaraKuna mambo mabaya sana yanatendeka halafu raia wamebweteka tu utadhani mazuzu !
Bora hata ilipe madeni, heshima kwa taifa.Ndugu Mtanzania jiandae kufunga mkanda maana taarifa ya Waziri wa Fedha ndio inaeleza hivyo kwamba kwa mwaka huu wa fedha zaidi ya 65% ya bajeti itahakikisha madeni yanalipwa.
Chanzo: EATV
Toa maoni yako
Yakilipwa tutamaliza deni au tutakuwa bado tunadaiwa?inaeleza hivyo kwamba kwa mwaka huu wa fedha zaidi ya 65% ya bajeti itahakikisha madeni yanalipwa.
Ndugu Mtanzania jiandae kufunga mkanda maana taarifa ya Waziri wa Fedha ndio inaeleza hivyo kwamba kwa mwaka huu wa fedha zaidi ya 65% ya bajeti itahakikisha madeni yanalipwa.
---
Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema asilimia 65.7 ya bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka wa fedha 2023/24 itatumika kuhudumia deni la Serikali pindi linapoiva
Wizara hiyo imeomba shilingi trilioni 15.94 ambapo jumla ya shilingi trilioni 10.48 zitatumika kulipa deni hilo
Chanzo: EATV
Toa maoni yako
Kuna mambo mabaya sana yanatendeka halafu raia wamebweteka tu utadhani mazuzu !
Uzuri madeni yaliyokopwa na JPM yote yalifanya mambo yanayoonekanaNdugu Mtanzania jiandae kufunga mkanda maana taarifa ya Waziri wa Fedha ndio inaeleza hivyo kwamba kwa mwaka huu wa fedha zaidi ya 65% ya bajeti itahakikisha madeni yanalipwa.