60’s style ndiyo habari ya mjini

kuna ofisi nilienda nikakuta sofa kama hizo daah kabla sijakaa niliwadharau sana kuweka kisofa kimekonda namnla ile ila daah baada ya kukaa ile sofa ipo comfotabo balaa sijawahi kaa kwenye sofa nikafirahi kama sofa za dizaini hio!
 
Tofauti ni kwamba hizi sofa zilikuwa na spring ila za kisasa hazina.Panya alikuwa akiingia humo akala sponge ndio kwisha habari yake zinabaki spring
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…