Pesa inahusika sana aiseeand "money"!
Hivi na love si inatakiwa iwepo au?
......... communication
Asante,
hata wewe
mie ndio!
afu mleta mada hajasema ni relationship ya namna gani! je ya boss na junior wake, mama na mwanae, kaka na dada, mume na mke, geflend na booflend ama mie na Mamndenyi?
hiyo ya pesa nimejibu tu ile kwamba kuona watu watasemaje.

Kama hakuna upendo wa kweli ni upuuzi mtupu.
Hivi na love si inatakiwa iwepo au?
kile unacho nena ndicho kilicho ndani ya fikira zako na ndicho bila shaka unatenda!mie ndio!