Asante mkuu Kang, kwa nini?
Au nimejieleza vibaya, sikuwa na maana games kama za magari, kuendesha ndege etc.
I meant games na software zinazomlengesha mtoto kujifunza e.g zenye nyimbo kama za a,b,c,d etc au zenye kufundisha math au maching etc ili angalau na yeye wakiwa wanaongea mambo yao ya computer nae awe na cha kuchangia,
Thx+Rgds,
RE.