LWENYI JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 1,839 Reaction score 2,175 Feb 13, 2016 #21 Chief-Mkwawa said: tafuta internet ya simbanet na wewe usuuze macho kidogo, hata kwa dakika 2 tu. Click to expand... Mkuu nimekua nikisikia sana habari za hii net ya hao jamaa vipi ni hatari sana eeeeh?
Chief-Mkwawa said: tafuta internet ya simbanet na wewe usuuze macho kidogo, hata kwa dakika 2 tu. Click to expand... Mkuu nimekua nikisikia sana habari za hii net ya hao jamaa vipi ni hatari sana eeeeh?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,240 Feb 13, 2016 #22 LWENYI said: Mkuu nimekua nikisikia sana habari za hii net ya hao jamaa vipi ni hatari sana eeeeh? Click to expand... ping yake ni 2ms tu, na speed yao sijui inaishia ngapi mimi nilitumia package ya 5mbps, kuna package nyingi sana cheki hapa Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala
LWENYI said: Mkuu nimekua nikisikia sana habari za hii net ya hao jamaa vipi ni hatari sana eeeeh? Click to expand... ping yake ni 2ms tu, na speed yao sijui inaishia ngapi mimi nilitumia package ya 5mbps, kuna package nyingi sana cheki hapa Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala
LWENYI JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 1,839 Reaction score 2,175 Feb 13, 2016 #23 Chief-Mkwawa said: ping yake ni 2ms tu, na speed yao sijui inaishia ngapi mimi nilitumia package ya 5mbps, kuna package nyingi sana cheki hapa Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala Click to expand... Shukrani mkuu ngoja nijifunze then nitaitafuta!
Chief-Mkwawa said: ping yake ni 2ms tu, na speed yao sijui inaishia ngapi mimi nilitumia package ya 5mbps, kuna package nyingi sana cheki hapa Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala Click to expand... Shukrani mkuu ngoja nijifunze then nitaitafuta!