..................

naomba unifafanulie tabasamu la hawa which make them right...

Hapa tabasamu linaonyesha wote wako kwenye kazi moja amna adui hapo na iyo kuwekeana bastola ni salamu huwezi kufananisha na lili pozi la wavaa heleni wauza sura.....!!!
 
Hapa tabasamu linaonyesha wote wako kwenye kazi moja amna adui hapo na iyo kuwekeana bastola ni salamu huwezi kufananisha na lili pozi la wavaa heleni wauza sura.....!!!

inaonesha hata muvi yenyewe hujawahi iona
 
inaonesha hata muvi yenyewe hujawahi iona

Hapa siomgelei movie mi naongelea picha iyo picha ulioweka ukisema niongelee movie hata maudhui niyasemayo yatabadilika..... movie nilioangalia mpaka sasa ni nne tu moja ilipoanza tu stering alikufa kwenye maua nakumbuka na nyingine ni predator ,Salafina na coming america.........!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…