50% of kenyans live under poverty line

Kwahyo Hawa jamaa kumbe kwanza masikini hawana habari nae....bora tz masikini wanapewa mikopo wanafanya biashara ndogondogo maisha yanasonga .....kazi wanayo ndugu zetu Hawa wa apo voi
 
untitled.JPG
 
:D:D:D again the link says the statistics from 2005 , wapi hiyo 2016.
Kwikwikwi utatafuta pa kutokea hutoki ndugu. Huo ndio ukweli. Hizi ni takwimu za 2016. Acha kukimbia ukweli wewe.

  Population below poverty line (%) by country   Updated 10-01-2016
 
:p:p:preally coz your link says otherwise ,wewe ndiye unakimbia , kumbe wadanganyika wanakosa elimu hivi , aibu sana

dszef.png
 
Huwezi kimbia ukweli wewe
Mwaka 2000 mlikuwa na 50%
Mwaka 2016 mpo na 46%
For 16 year mmepunguza 4%
Miaka mingapi mtawza kufikia tz ilivyo sasa
28%

2002 tulikuwa na 36 tumepunguza mpaka 28%.

Uondoaji wa umaskini kenya ni slow sana.
Rudi hapo kwa website ya world bank, enda gwa ile graph ya mambo ya poverty, alafu on your right, geuza hion threshold ya below poverty live uweke ya below $2 dollars ama $1.9 a day , tanzania utakuta inaruka inasema 70% wanaishi below $2% ya kenya inakua 42%... Alafu tuone kama bado utakua unacheka cheka............ Hio ndo maana Kenya Middleclass ni 44.9% wakati tanzania middleclass ni 14% ya population
 
Kwahyo Hawa jamaa kumbe kwanza masikini hawana habari nae....bora tz masikini wanapewa mikopo wanafanya biashara ndogondogo maisha yanasonga .....kazi wanayo ndugu zetu Hawa wa apo voi
Sisi hapa tupo na mfuko wa TASAF unasaidia sana katika kupunguza umaskini.

Hawa jamaa wapo na population ya watu zaidi ya mil. 46. Kwahiyo zaidi ya wakenya mil. 23 wanaishi chini ya umaskini.
Tuseme sasa mil. 10 ni maskini wa kawaida

Sasa basi tunaweza sema mil. 33 kati ya 46 ya wakenya ni maskini. Wanaishi chini au sawa na dola 1
 
Rudi hapo kwa website ya world bank, enda gwa ile graph ya mambo ya poverty, alafu on your right, geuza hion threshold ya below poverty live uweke ya below $2 dollars ama $1.9 a day , tanzania utakuta inaruka inasema 70% wanaishi below $2% ya kenya inakua 42%... Alafu tuone kama bado utakua unacheka cheka............ Hio ndo maana Kenya Middleclass ni 44.9% wakati tanzania middleclass ni 14% ya population
Mbona una kimbia kimbia sana? Leta hiyo link hapa tuione. Ni wangapi wanaishi below poverty line. Wacha longo longo.
 
Alafu ndo ujue ni uongo, Link yenyewe inasema South Africa walikua 53% below poverty in 2010
Halafu unaposema nyie ni uchumi wa kati unajua maana yake lakini. Is a simple arithmetic. Pato la taifa gawanya kwa population basi.

Kama kuna vibosile 2 na nyie mpo 100 huku mnalala njaa mtabebwa na hao na kuonekana mtaa tajiri kumbe hola.

Hizi report za below poverty ndio zinatoa ukweli ili mkazane wale watu mia waondokatene na umaskini wa kutupwa.
 
Mbona una kimbia kimbia sana? Leta hiyo link hapa tuione. Ni wangapi wanaishi below poverty line. Wacha longo longo.
Halafu unaposema nyie ni uchumi wa kati unajua maana yake lakini. Is a simple arithmetic. Pato la taifa gawanya kwa population basi.

Kama kuna vibosile 2 na nyie mpo 100 huku mnalala njaa mtabebwa na hao na kuonekana mtaa tajiri kumbe hola.

Hizi report za below poverty ndio zinatoa ukweli ili mkazane wale watu mia waondokatene na umaskini wa kutupwa.
Angola, Sudan ni nchi ziko na Uchumi mara dufu kuliko kenya lakini ziko kwa list ya LCD
 
Back
Top Bottom