Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,008
- 17,479
50 Cent anaishi maisha ya ki-Alpha.50 Cent alifunguka kuwa moja kati ya vitu vingi anavyovipenda ni kuwakataa wanawake wanaojirusha kwake, kwa sababu pia wanafurahia kukataa wanaume wa kawaida.
Anafanya hivyo kwa sababu anajua sababu ya wengi wa wanawake hawa kujirusha kwake ni kwa sababu ya umaarufu na utajiri wake.
Ikiwa hakuwa na hadhi, lakini mvulana wa wastani tu, hakuna hata mmoja wa wanawake hawa angeangalia upande wake. Anaelewa asili ya wanawake kuwa na wanawake, jinsi "upendo" wao ni wa fursa. Na anawachukulia kama wapenda fursa walivyo
Wanawake hawapendi wanaume, wanapenda thamani. Ndio maana wanakusanyika karibu na wanaume wa thamani ya juu kama mchwa kufuata sukari. Kuelewa mchezo
C&P from Facebook
Amesema hataki mnaojipeleka kwake kwasababu mnapenda pesa na umaarufu wake hamumpendi yeye.Nimempenda 50cent bure..!🤸
Sisi tunapenda mtu,tukimuelewa poa tu awe nacho asiwe nacho. 50 kasema nyinyi mnaangalia fursa mtu wa kawaida hamumshobokei.Sidhani kama kuna kiumbe aliyetoka ubavuni mwa Adamu akawa hana standards zake!!
Kila mtu anazo,, ila za mwanamke tu ndiyo zinachukuliwa negative.
Na mimi nimempenda baada ya yeye kuonesha msimamo wake huo!Amesema hataki mnaojipeleka kwake kwasababu mnapenda pesa na umaarufu wake hamumpendi yeye.
Kuna mahala nimesikia huyu jamaa hatumii kilevi chochote si pombe wala bange yaani jamaa ni sober pro max50 Cent anaishi maisha ya ki-Alpha.
Njoo basi tuanze chini mimi na weweNa mimi nimempenda baada ya yeye kuonesha msimamo wake huo!
Raha muanze wote kuanzia chini na juu mfike mkiwa wote
Nakazia 😁Sisi tunapenda mtu,tukimuelewa poa tu awe nacho asiwe nacho. 50 kasema nyinyi mnaangalia fursa mtu wa kawaida hamumshobokei.
Tunawaelewa lakini,maisha magumu.
Hapana! Wewe umeshazeekaNjoo basi tuanze chini mimi na wewe
Alpha males wanajali afya zao, wanajali uchumi wao na amani yao.Kuna mahala nimesikia huyu jamaa hatumii kilevi chochote si pombe wala bange yaani jamaa ni sober pro max
Duh nimeumia sana. Yaani maneno ya 50 cent yanathibitika hapa live kabisa!Hapana! Wewe umeshazeeka
Nataka vijana wenzangu age 40 kushuka chiniDuh nimeumia sana. Yaani maneno ya 50 cent yanathibitika hapa live kabisa!
Ni kiumbe mmoja tu aliyetoka ubavuni mwa Adam ambaye ni "Awa"Sidhani kama kuna kiumbe aliyetoka ubavuni mwa Adamu akawa hana standards zake!!
Kila mtu anazo,, ila za mwanamke tu ndiyo zinachukuliwa negative.