50 bora za miaka 50

1Tulipokutana pale kampala kwenda nairobi, ukielekea nairobi nyumbani, nikahaidi kukutembelea, nawe karibu nyumbani eeh; ooh shaki eeh
2. Shoga leo nisikilize, shoga leo nikupashe, na urafiki wetu utakwisha leo, shoga nakuona una nia mbaya, kwa vile mume wangu ni mwana muziki, ameniimba kwenye nyimbo zake, na kunifananisha na ndege tausi, uzuri wa tausi nitaupata wapi, tausi mwenye rangi eeh
Mama watoto percent mia moja
Kwa ukarimu kwa wageni wetu nyumbani mama watoto

3. Kilichonishangaza siyo lifti mama watoto
Ni tabasamu na vicheko mlivyokuwa navyo ndani ya gari
Nilichanganyikiwa midomo ilianza kunicheza...
 
Hapa kweli tutalikomboa taifa letu? Naona great thinkers nampoteza Mwelekeo! Nyimbo za nini huku maiti zinazidi kuokotwa igunga?
 
1.Tupa tupa
2. Solemba
3. Naomba picha yake ooh sela mama
4.Ugomvi wa baba na mama siwezi kuingilia kwa sababu ningali mtoto
5. Kasimu amekuwa jambazi
6. Wote ni abiria wangu eeh mimi nitaxi driver
7. Zuena

Si kuwa nazipenda saaana ila ndio ninazo kumbuka

ni masudi amekuwa jambazi
sio kassimu.....kama ni ile ya marijani rajabu
 
1Tulipokutana pale kampala kwenda nairobi, ukielekea nairobi nyumbani, nikahaidi kukutembelea, nawe karibu nyumbani eeh; ooh shaki eeh
2. Shoga leo nisikilize, shoga leo nikupashe, na urafiki wetu utakwisha leo, shoga nakuona una nia mbaya, kwa vile mume wangu ni mwana muziki, ameniimba kwenye nyimbo zake, na kunifananisha na ndege tausi, uzuri wa tausi nitaupata wapi, tausi mwenye rangi eeh
Mama watoto percent mia moja
Kwa ukarimu kwa wageni wetu nyumbani mama watoto

3. Kilichonishangaza siyo lifti mama watoto
Ni tabasamu na vicheko mlivyokuwa navyo ndani ya gari
Nilichanganyikiwa midomo ilianza kunicheza...
Jackie

Mkuu unaukumbuka ule wimbo Ulioimbwa kilevi Mano Mambo Ee mano eeh Mambo Whiskey Soda Mano Mambo
Kisha unasikia Mtu ana tapika balaa
 
Hapa kweli tutalikomboa taifa letu? Naona great thinkers nampoteza Mwelekeo! Nyimbo za nini huku maiti zinazidi kuokotwa igunga?

What have you done about it so far ili tukuunge mkono?
Acha unafiki,...
 
Nina g.f kwa mwezi wa nne sasa yeye anasoma mkoani chuo fulani.. ni mpole mnoo chochote nitakachosema basi anatekeleza na kiukweli nampenda sana nilimgusia kuhusu kuoana next yr akiitimu akasema anaitaji mwaka 1 mbele basi tukakubaliana hivyo na tayari kanitambulisha kwa mama yake na mimi baadhi ya ndugu zangu wanamfahamu tatizo huyu g.f wangu hanipi changamoto za kimaisha yaani naona hawezi fanya kitu bila wazo langu licha ya kumweka huru kunishauri kwa lolote lile kwani mimi kwa sasa nina kipato kizuri na elimu nzuri sitaki kuonyesha utofauti wetu kwani yy ndo kwanza anasoma diploma wakati mwingine nafikiri anaona hawezi kuongea kitu mbele yangu hali hii inanikosesha sana amani sijui nifanye nini ili aone usawa baina yetu kwani imefikia hatua nafikiria yawezekana kuna m2 pembeni ya uhusiano wetu ingawaje sijona evidence yoyote yaani simwelewi kabisaa amepooza sana licha ya kuniambia ananipenda sana.. i need yo advice plz
 
1. Kauli ya Mama - Msondo
2.Kilio cha yatima - double M
3.Ajali - Msondo etc....
Wanaume tumeumbwa, Matesoooo, Mateso kuhangaikaaa!!!!!!!!!
Mwanume unapopatwa na matatizo ooh, macho huwa mekundu kwa uchungu..kwa mawazo...kwa hasira..lakini katu katu usikate tamaaa!!
 
Hii mkuu anzishia thread yake, utapata ushauri mzuri tu.

Nina g.f kwa mwezi wa nne sasa yeye anasoma mkoani chuo fulani.. ni mpole mnoo chochote nitakachosema basi anatekeleza na kiukweli nampenda sana nilimgusia kuhusu kuoana next yr akiitimu akasema anaitaji mwaka 1 mbele basi tukakubaliana hivyo na tayari kanitambulisha kwa mama yake na mimi baadhi ya ndugu zangu wanamfahamu tatizo huyu g.f wangu hanipi changamoto za kimaisha yaani naona hawezi fanya kitu bila wazo langu licha ya kumweka huru kunishauri kwa lolote lile kwani mimi kwa sasa nina kipato kizuri na elimu nzuri sitaki kuonyesha utofauti wetu kwani yy ndo kwanza anasoma diploma wakati mwingine nafikiri anaona hawezi kuongea kitu mbele yangu hali hii inanikosesha sana amani sijui nifanye nini ili aone usawa baina yetu kwani imefikia hatua nafikiria yawezekana kuna m2 pembeni ya uhusiano wetu ingawaje sijona evidence yoyote yaani simwelewi kabisaa amepooza sana licha ya kuniambia ananipenda sana.. i need yo advice plz
 
NAOMBA NITOE MASAHIHISHO
1.Rangi ya chungwa............Serengeti band....SERENGETI NI WEZI NYIMBO NI YA NYANYEMBE JAZZ BAND
2.Barua....................Les wanyika
3.Amigo..................Les wanyika
4.Ndoa ndoana..........Ottu jazz
5.Malingo kwetu kawaida.............Mbalaka Mushehe...(MALINGO ni nini? Hakuna mwanamuziki anaitwa Mbalaka Mushehe)
6.Nalala kwa taabu......................DDC
7.Ishara ya Mapenzi................MK Group
8.Kabibi......................John ngereza
9.Kuoana ni jambo la sifa............(Harusi Afro 70)??????.
10.Kadilika simba...................(Kadiri Kansimba Sambulumaa Band)
11.Mapenzi kizungu zungu.............?????
12.Penzi mashaka.............??????
13.Bibi wa mwenzio ................Remmy Ongala
14.Penzi ulaghai.....................Washirika Stars(Penzi la Ulaghai-Washirika Tanzania Stars)
15.Homa imenizidi......................Jacob Usungu????????????(Homa imenizidia-Orchestra safari Saound)
16.Ngumi mkononi.............Jambo stars
17.Jojina..................Serengeti band...(Georgina-Safari Trippers) Hao Serengeti ni wezi tu
18.Fanta....................Papii kocha....(Version ya kwanza ni ya Kalala Mbwebwe)
19.Seya.........................Papii kocha & Nguza
20.Baba Paroko..................Makasi Junior....Makassy Junior
21.Mapenzi ya simu.............Samba mapangala???????????????
22.Stella.......................??????????????
23.Julie .............Bob Ludala
24.Karubandika ..............James Dandu.....?(Version ya kwanza ni Orchestra Maquis).
Listi hii ina makengeza na siikubali, japo wazo ni zuri kutafakari 50 bora zitakuwa zipi?
25......
 
Wivu eeh wivu ni ugonjwa jamanieeh
Wivu juu ya mume wangu unaniua eeh
wivu eeh wivu ni ugonjwa jamani eeh
wivu juu ya mume wangu unanikondesha eeh

Hospitali ya wivu sijaijua eeh jamani
ningekwenda siku moja eeh nikatibiwe

Wananisemasema wenzangu eeh mama eeh
wananisengenya wenzangu ooh mimi
naona haya mama

Akitoka asubuhi kwenda kazini
sina raha sina raha jamani
natamani nende nae mume wangu jamani
kutwa natazama njoa atarudi saa ngapi
mapenzi mapenzi
yamenizidi kimo eeh mama eeh

Aiyee, mimi oooh
Jambo moja nawaomba ngoja niseme
Niacheni nione wivu kwa wangu kipenzi
bila wivu atajuaje
kama kweli nampenda eeh mimi

Wivu wivu ukizidi
Unaleta kero ooh bibie
Hata nikichelewa kazini unaona donge eeh bibi eeh
hacha wivu

Mbona saa zako za kurudi kazini hazieleweki
Mume wangu eeh eeh eeh
Mara saa kumi, mara saa mbili usiku
Nikueleweje, unanipa wasiwasi
mume wangu eeh ninakoda

Penzi lako linataka
eti nishinde ndani tu mama
tutakula nini bibi eeh
tutavaa nini bibi eeh
wivu gani
 
NAOMBA NITOE MASAHIHISHO
1.Rangi ya chungwa............Serengeti band....SERENGETI NI WEZI NYIMBO NI YA NYANYEMBE JAZZ BAND
2.Barua....................Les wanyika
3.Amigo..................Les wanyika
4.Ndoa ndoana..........Ottu jazz
5.Malingo kwetu kawaida.............Mbalaka Mushehe...(MALINGO ni nini? Hakuna mwanamuziki anaitwa Mbalaka Mushehe)
6.Nalala kwa taabu......................DDC
7.Ishara ya Mapenzi................MK Group
8.Kabibi......................John ngereza
9.Kuoana ni jambo la sifa............(Harusi Afro 70)??????.
10.Kadilika simba...................(Kadiri Kansimba Sambulumaa Band)
11.Mapenzi kizungu zungu.............?????
12.Penzi mashaka.............??????
13.Bibi wa mwenzio ................Remmy Ongala
14.Penzi ulaghai.....................Washirika Stars(Penzi la Ulaghai-Washirika Tanzania Stars)
15.Homa imenizidi......................Jacob Usungu????????????(Homa imenizidia-Orchestra safari Saound)
16.Ngumi mkononi.............Jambo stars
17.Jojina..................Serengeti band...(Georgina-Safari Trippers) Hao Serengeti ni wezi tu
18.Fanta....................Papii kocha....(Version ya kwanza ni ya Kalala Mbwebwe)
19.Seya.........................Papii kocha & Nguza
20.Baba Paroko..................Makasi Junior....Makassy Junior
21.Mapenzi ya simu.............Samba mapangala???????????????
22.Stella.......................??????????????
23.Julie .............Bob Ludala
24.Karubandika ..............James Dandu.....?(Version ya kwanza ni Orchestra Maquis).
Listi hii ina makengeza na siikubali, japo wazo ni zuri kutafakari 50 bora zitakuwa zipi?
25......

Asante sana mkuu
 
DDC Mlimani Park - MV Mapenzi Meli ya Wapendanao
International Orchestra Safari - Marashi Ya Pemba
 
Back
Top Bottom