5 signs you have to move from your parent's house

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,500
9,279
The point in life when you become much aware of life and how you are expected to face it is totally terrifying mostly after college. At one point we seem so comfortable being sheltered for by parents and how we grow out of that state to hold our own wheels. It is a natural cycle that is bound to happen except, of course, you ignore the signs. Pulse.com.gh bring to you moments considered appropriate to leave parents’ house.

1. Distance from home to work It is very pertinent to relocate to another space from home if work place is far from home. Whether it is rented or a temporal place offered to you. It does you the out most good than the fear of leaving alone. You tend to get to the office early and become more productive than a long distance travel to work every day looking so stressed.

2. Late night outings As we grow we tend to be more adventurous especially in our youth days. Late night outing culture is what we embrace the most at this stage. Going out and coming back late is something you wouldn’t like to disturb parents with. It becomes very disturbing during this time when you still leave with parents. This is the perfect time to excuse yourself by getting your own space.

3. Relationship and Privacy Getting attached to another person is innate. We grow to build relationships that get stronger and stronger and stronger each day. Privacy in this stage is very keen. You would naturally want to build a very deep relationship with another and have them always by you. Putting the other party always in the face of a family is never healthy to the relationship. This is a perfect time to leave the house.

4. Read between the lines Body language plays a very vital role here. Parents at point expect their children to have their own space for reasons best known to them. Bills related friends’ invasion, age and so on might be the possible reasons why. In this times, you need not the writings on the wall to get their point clear. It is the perfect time to follow this course.

5. Younger siblings leave the house What are you waiting for lying on mama’s couch if your younger sibling moved out to be on their own? It is quite an embarrassing situation as it seemingly takes your birth right from you as the eldest. You turn to be disrespected in a way still doing all those house chores in the name of helping mama.
 
Kuna mzee mmoja alikuwa anakaa kwa mtoto wake. Yule mzee alikuja kufukuzwa na mtoto wake ikabidi tumpokee kwenye nyumba ya kwetu. Mimi niliwaza kwa nini afukuzwe na mtoto?

Sasa nilivyokaa naye nikatamani na mimi nimfukuze maana alikuwa ananifanya mimi mtoto wa chini ya 18.

Ila wazazi wanasumbua bana ukishakuwa mfano ukileta vimada wako yeye hataki anakutishia na laana. Ukifanya hivi hataki ukitembea na mama wa jirani hataki, mara atake kula vizuri anapenda nyama tena hataki apakuliwe tu finyango tuwili lazima awake

Ila wazee mlioko huku acheni unoko

japokuwa na sisi tutazeeka

[HASHTAG]#seduce[/HASHTAG] mimi
 
You kids of today, hamna lolote. Ngoja mkae tu kwetu sisi wazazi wenu. Mtajidai mnapanga halafu mshindwe kulipa kodi. Kwanza mna ajira? Acheni mikogo vijana. Kaeni tuwalishe tu. Mbona hatuwezi kuwadai! Feel free boys and girls! We are there for you people!
Halafu, hata mkienda kujitegemea mtarudi kudai urithi kwa fujo sana. Mbaki tu, nyau ninyi. Tunawapenda hivyohivyo. Tutafanyeje sasa?
 
namba 2 na 3 ndo iliyonifukuza home fasta.......!!maana ukirudi mtungi kelele hadi stimu zenyewe zinaisha kichwani!!!
 
Well! Mi nikitoka kwa wazazi naenda kwa mume.
Hii inahusu sana watoto wa kiume. Hata mimi huwa najisikia amani nikikutana na mwanamke bado anakaa kwao ingawa kukosa kwake uhuru fulani inaleta friction mfano hawezi kulala kwangu au akija saa 12 tu inabidi awahi home.
 
Hii inahusu sana watoto wa kiume. Hata mimi huwa najisikia amani nikikutana na mwanamke bado anakaa kwao ingawa kukosa kwake uhuru fulani inaleta friction mfano hawezi kulala kwangu au akija saa 12 tu inabidi awahi home.
Ht li binti la miaka 30 kwenda juu akae kwao...aondoke awapishe wadogo zake..aende akajifunze life nje..sio kutegemea vya baba na mama
 
Hapa assumption ni kwamba ukikaa kwenu maana yake bado unawategemea wazazi wako.Je kama unakaa kwenu lakini wewe ndio wazazi wanakutegemea?,je kukaa kwenu maana yake ni kukaa kwenye nyumba moja?,au eneo moja(compound)?,je ni sawa kwa kijana kwenda kujiminya kwenye kachumba kamoja wakati kwao kuna nafasi ya kutosha?.Vipi jamii za kihindi na kiaarabu,ambapo wao unakuta baba mama watoto na wajukuu wanaishi sehemu moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom