Hip ilikuwa Enzi zile za chama kushika hatamu na watoto wa shule za msingi kuchezeshwa halaiki na wengine kulazimishwa kuwa green guard!
Siku hizi kama wewe sio CCM hutakiwi kujua sherehe zao wanafanyaje!
zitusaidie nini sisi wavuja jasho tunaonyang'anywa ardhi yetu ili wapewe wageni? tunaoishi kama digidigi ktk nchi yetu! yako wapi matunda ya uhuru uliopiganiwa na babu zetu? huyu shetwani ccyem hakika siku zake zinahesabika!
zitafanyika mbeya,mkuu wa kaya atawasili tarehe 30 maalum kwa sherehe hizo uwanja wa sokoine lakin hii si issue sana issue serikali imeanza kugawa 'TABLETS' haya naona ni maajabu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.