Ni sahihi hiyo boldness inayokusudiwa sijaielewa vyema,haya pia ni muhimu:-
Respect
Humility
Resliance
They are five and these most men admire them;
beauty/ being attractive
God Fearing
Behaviours
Boldness
and Confidence.
Men what is your say on this?
Ni sahihi hiyo boldness inayokusudiwa sijaielewa vyema,haya pia ni muhimu:-
Respect
Humility
Resliance
Nadhani alimaanisha mtu ambae haogopi wala hasiti kufanya jambo hususani ni pale linapohitaji mabadiliko(a daring person)
wababa na wakaka mje huku
mseme mnapendaga nini?
ngoja nchumba ako ajeKwani mimi hua napendaga nini vile?
hapo ni viwili
kumuhofia mungu au ucha mungu
tabia
na uzuri ah kila mtu anatafsiri yake...

wababa na wakaka mje huku

mseme mnapendaga nini?

Wakisema wanapenda vimodo upo tayari kuacha kunywa bia?
bia siachi ng'ooooo!
hata niwe ka tembo siachi!
ngoja nchumba ako aje
atheme! we mimisaaaaaaaaaaaaa!