5,000 wanasubiri visu na nyembe!!!!...hii mbaya kabisaa...!!!!!!!!!

Kwa taarifa yako mimi ni mtu niliye huru sana, labda wewe ndiye unahitaji kukombolewa. Hivi vitu dada yangu huvijui kabisaa, umekalia mambo ya kuambiwa sijui kusimuliwa ukichanganya na mama na dada zako kuachika basi umejaa ma-stress. Na ndio sababu sasa umekuwa embarrassed!! any way pole sana bibie.

Mimi ndiye naufahamu uzuri na ubaya wa mila zetu, sio wewe mchaga mama yangu. Gaijin amenielewa vizuri ninachozungumza, labda atakusaidia kukuelewesha. Nataka nikuhakikishie kwa mara nyingine, when it comes kwenye mila na utamaduni wangu ninaufahamu ubaya wake na uzuri wake wala huwezi kunidanganya katu. Na hata hatua zilizofikiwa katika issue hii ni kubwa sana. Serikali yenyewe ilianza kwa kutunga sheria kwenye wilaya ili kuwadhibiti watu lakini ilishindwa baada ya kutambua nguvu ya mila na wenye mila wenyewe, je unajua kilichofuata? je umejiuliza kwanini OCD alikuwa anashangaa? Elimu imekuwa ikitolewa hatua kwa hatua na huko mbeleni hii kitu itaisha tu lakini si haraka kama unavyotaka wewe. nilimwambia Gaijin mahalikwamba siku hizi wanakata ki-ccm, kama ukitaka kujua nini maana ya ki-ccm, tafuta muda wako uende Mara ukajifunze, najua moshi mnakeketa lakini ya kwenu ni tofauti na sisi! wakurya tuna waheshimu sana wazee wa mila, utasema mila potofu, sawa, lakini hizo ndizo zimetufikisha hapa tulipo leo. wakurya tunazidi kuongezeka kama yalivyo makabila mengine. Tuna familia zetu kizazi hadi kizazi na afya tele, na wakurya tunajua kutunza familia na tunaheshimu na kutambua ndoa na familia za wengine, upo hapo? tunayatambua mazingira yetu na tunakabiiana nayo vilivyo na tuna furahia Mungu kutuumba wakurya!!

i'm out for now, kama kuna issue zaidi tuonane jumatatu, naenda kusakata "litungu", unaifahamu hiyo kitu Fab?

kacheze litungu afu urudi uje utuambie unamfikishaje huyo mkeo aliyekeketwa...!
maana nahisi unataka kuukimbia mjadala,kwa kuuuweka uwe ki-personal zaidi...sijui mie kuwa stress za mama yangu kuachwa zimeingiaje...
mtu akisoma hii posti yako,nadhani atakubaliana na mie umeanza kupoteza muelekeo!
 
@ fab .usirudie tena kuandika post fupi kama hii
This message has been deleted by Fab.

bek to ze topik: kilio chenu kimeskika, nitaitisha kikao cha zarura leo na wanabodi wa mikoa husika, consider that solved. msisite kuweka malalamiko yenu hazarani ili mapedeshee tuyashuhulikie. ahsanteni sana.
 
bek to ze topik: kilio chenu kimeskika, nitaitisha kikao cha zarura leo na wanabodi wa mikoa husika, consider that solved. msisite kuweka malalamiko yenu hazarani ili mapedeshee tuyashuhulikie. ahsanteni sana.

Ahsante mkuu

Tunashukuru kwa mchango wako :)

Tukikumbana na mila nyengine inayotutatiza hatutaacha kukutafuta :D
 
Hata sijaelewa nini mnabishana. Hivi hamjui kuwa hao wanao keketwa wanafurahia kupata nafasi ya kukeketwa na asipo keketwa anajiona si mmoja wa wanawake wazuri katika jamii yake. Mungu atusamehe.
 
Hata sijaelewa nini mnabishana. Hivi hamjui kuwa hao wanao keketwa wanafurahia kupata nafasi ya kukeketwa na asipo keketwa anajiona si mmoja wa wanawake wazuri katika jamii yake. Mungu atusamehe.

Taabu tupu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom