Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.
Usiku huu kwenye taarifa ha habari ITV kuna dada mmoja alikuwa anaongelea kuhusu gazeti la the gurdian na Nipashe kuzindua huduma ya yaarifa kwa njia ya sms kupitia tigo kasema mteja atakuwa anapokea msg nne kwa mpigo mara nne akakazia kwamba nne mara nne ni kumi na nane.
Hata mimi nilimwona.
Nilishtuka sana; sijui ni marketing officer wa tiGo ?
Sijui alipitaje interview.
Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.
Usiku huu kwenye taarifa ha habari ITV kuna dada mmoja alikuwa anaongelea kuhusu gazeti la the gurdian na Nipashe kuzindua huduma ya yaarifa kwa njia ya sms kupitia tigo kasema mteja atakuwa anapokea msg nne kwa mpigo mara nne akakazia kwamba nne mara nne ni kumi na nane.
Huu ndio umbea, kuna binadamu asiekosea? Uivu wa kijinga/
hee unaulizia interview alifanyiwa kitu inayoitwa lorge Interview/hotel interview
mtu asiyejuwa multiplication table automatically anakuwa na tatizo jingine la nyongeza .........hajui hasi na chanya.
na mtu mwenye matatizo hayo mawili huwa hajui hesabu maisha.
Hiyo sio issue sana. Je, ni nani mbulula kati yake na yule Waziri aliyesema kwenye mkutano wa viongozi mbalimbali duniani kwamba Tanzania ni Muungano wa nchi ya Zimbabwe na Mozambique?