rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 145
Iwe haijagongwa,imetumika si zaidi ya 6Month,1500cc,5doors,any colour bt not red,any yr but >1997,Naomba kama unayo nisaide ndg yangu.Preff Automatic,Km ilizotembea <125,000KM.
RE.
RE.
Una kiasi gani mkuu ili nifanye kazi hiyo?
Una kiasi gani mkuu ili nifanye kazi hiyo?
Yaani gari iliyotumika miezi 6 uuziwe 4m?
Ukiondoa hili sharti utapata kwa hiyo bei
Mkuu ungeweka hadharani hata wengine tungeweza kuangalia uwezekano wa kucukua, sasa hizo PM ....Mi ninayo ni PM tufanye biashara. Gari ni ya mwaka 2000 ni cc 1330 Corolla 111 automatic, power windows, ac, colour ni pearl. Ipo Dar es salaam ingawa wewe hujasema uko wapi.