4M toyota corrolla nitaipata?

4M toyota corrolla nitaipata?

rakeyescarl

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2007
Posts
481
Reaction score
147
Iwe haijagongwa,imetumika si zaidi ya 6Month,1500cc,5doors,any colour bt not red,any yr but >1997,Naomba kama unayo nisaide ndg yangu.Preff Automatic,Km ilizotembea <125,000KM.
RE.
 
Million nne Mkuu mwenye avatar ya give thanks ,maana jina lako halionekani.
 
Yaani gari iliyotumika miezi 6 uuziwe 4m?
Ukiondoa hili sharti utapata kwa hiyo bei
 
Nimelitoa kwa maana sasa nasema iwe kwenye hali nzuri-NATANGULLIZA SHUKURANI NA MAGOTI NIMEPIGA!
Yaani gari iliyotumika miezi 6 uuziwe 4m?
Ukiondoa hili sharti utapata kwa hiyo bei
 
Mi ninayo ni PM tufanye biashara. Gari ni ya mwaka 2000 ni cc 1330 Corolla 111 automatic, power windows, ac, colour ni pearl. Ipo Dar es salaam ingawa wewe hujasema uko wapi.
 
Mi ninayo ni PM tufanye biashara. Gari ni ya mwaka 2000 ni cc 1330 Corolla 111 automatic, power windows, ac, colour ni pearl. Ipo Dar es salaam ingawa wewe hujasema uko wapi.
Mkuu ungeweka hadharani hata wengine tungeweza kuangalia uwezekano wa kucukua, sasa hizo PM ....
 
Back
Top Bottom