4GLTE from smile communication

Router ya 350k inashare kwa computer 10
wakat Mi-Fi router inashare kwa almost 5 coputers bila shida yoyote

kama link ni shared maana yake user mwenye computer i7 aki-download na mwenye computer ya kawaida aki-download mwenye i7 atawai kumaliza so bundle zipo juu sana labda kama link isingekuwa shared.
 
What about coverage? is that dar es salaam network only?


 
1gb kwa 16000 tsh ? Kichwa kinauma!!

wakati saa hizi wengine tumefufua lne zetu za airtel yatosha 1Gb kwa 5000 kwa wiki na hata skyping pia iko pouwa maana naongea na jamaa zangu from US na Indonesia poaaaaa!! anyways labda kwa matumizi ya ofisi ni nzuri na sipingi ila kupiga tu story na kuingia JF it is abit costful.
thank you for the info.
 

Kitu mweendo mdudundo bado kipo ni 10,000 yako tu
 
Watanzania mm nipendeni kuwambia kuwa tuachane na 3G hizi kuna mda tunaitaji kuanza kutumia hivi vitu vya 4G
Yaani Mungu Katujaria tumepata LTE lkn ukiuuliza nani anamiliki hata Modem hautomuona
Ni muda muafaka wa ku cope up na Technolojia wana DAR tuamke na wa-zanzibar ambako SMILE imefika

Na wale wa MAMBO yetu yale kaa mkao wa kula wa 4G
 

Hapo kwenye red panahusika saana. Cant wait for that...:heh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…