4g ya simu inatakiwa kuwa na sifa gani?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
1,427
Kuna misamiti makampuni ya simu yamekuwa yakitumia kuvutia biashara na maneno mengine yanawachanganya wateja bila kuelewa. Mfano kampuni ya apple imeweza kuuza simu zake za model ya Iphone 4g huku baadhi ya watu wakidhania ile 4g ya model ya Iphone inakidhi viwango vilivyokuballiwa na shirika la Mawasiliano ulimwenguni (ITU) kuwa ndio vitavyokuwa vya 4g ya mawasiliano .

Simu ya Apple 4g ni jina tu lakini ni simu amabyo haina sifa wala uwezo wa kusafirsiha u upokea katik viwango na kasi ya ya 4g Neno g hata kwenye kopmyuta linammaanisha vizazi (generation). Yaani Kizazi toka tekenolojia ipoanza na mabadiliko na maendeleo muhimu yliyofikiwa . Kwahiyo hatua maendeleo fulani inasbabisha tenologia ipewe jina lenye g.


Kwa maana hiyo kifupi teknolojia ya mwasiliano ya simu za mkononi mpaka sasa imepitia madiliko au hatua kubwa tatu. 1g,2g,3g.

Cheki video hii ya dakika zisizodisi 8 upate historia na maana hasa ya kiteniki inayowakilishwa na neno G kwenye mambo ya Simu


Sasa baada ya malezo ya mtaaalam Tuienda wikipedia tunapata maelezo mengine kuhusu 4g
......... The ITU-R organization specified the IMT-Advanced (International Mobile Telecommunications Advanced) requirements for 4G standards, setting peak speed requirements for 4G service at 100 Mbit/s for high mobility communication (such as from trains and cars) and 1 Gbit/s for low mobility communication…

MWISHO


Kwa hiyo hata ulaya na marekani teknolojia ya mawasilianao ya 4g bado. iphone4g ni model ya simu sio teknolojia ya mawasiliano.

Wadau Nawasilisha

CC: inapatikana wenye gym ya mtazamaji
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom