Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,778
- 22,093
Ok basi ya kwangu ipo vizuri ni A50Sio necessary kwamba simu ikiweza kusoma 4G itaweza kuwa 4g+, unabidi uangalie kwenye box kama inasupport LTE-A au 4G+. Simu za zamani kidogo 2013 kurudi nyuma zilikuwa zina 4G lakini ni Cat 3 100/50 Mbps, kwahiyo zilikuwa hazi support LTE-A au 4G+ lakini simu za siku hivi nyingi zinakuwa na LTE-A Cat 4,6,9, 16,18,20 so zinasupport 4g+
Cat 4 ina support spidi hadi download/upload 150/50 Mbps
Cat 6 300/50 Mbps
Cat 9 450/50 Mbps
Cat 16 1024/150 Mbps
Cat 18 1200/200 Mbps
Cat 20 2048/150 Mbps
Unaweza kuangalia Gsmarena simu yako inasupport Cat kwenye eneo la "Speed" ili ujue kama inaweza support LTE-A au 4G+. Lakini sidhani kama kuna simu ya siku hizi ambayo haisupport LTE-A
Naona kwa simu yako Gsmarena hawaja weka ni Cat ipi lakini ukiangalia hapa https://www.notebookcheck.net/Samsung-Galaxy-A50-Smartphone-Review.418159.0.htmlOk basi ya kwangu ipo vizuri ni A50
4G bandsLTE band 1(2100), 3(1800), 5(850), 7(2600), 8(900), 20(800), 38(2600), 40(2300), 41(2500) LTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 12(700), 13(700), 17(700), 20(800), 26(850), 29(700), 38(2600), 40(2300), 41(2500), 66(1700/2100), 71(600) - Canada
Itakuwa cm yako ndo haina uwezo wa 4g ila me natumia 4g ya airtelNmebadili leo line
Hakuna cha 4G wala nini
Nmewapigia wananiambia et hawajazindua bado
Wakati walikua wananitumia ma sms tele
Haina mkuuItakuwa cm yako ndo haina uwezo wa 4g ila me natumia 4g ya airtel
Geneva ya Africa hiyo,hebu check handset yako kama ipo compatible na 4GUko.mkoa gani?? Huko Arusha hakuna kitu mkuu
Ni kweli mi ndiyo namalizia bundle lao nilisajili juzi katiMie pia nimetumiwa..
Hizi hbr zitakuwa za kweli
Namm namalizia hapa, ukipata bundle zuri nitag namm maana airtel ni mgeni kabisa,Vodacom wamenifukuzaWalishaniwekea wakanipa na GB4 zangu
Zimeniishia asaivi natafuta bundle la kujiunga
Ipo nina OnePlus 6T au nirudi tena kwao sababu nilibadili line mpaka leo hakuna kituGeneva ya Africa hiyo,hebu check handset yako kama ipo compatible na 4G
Hakuna bando zuri kizidi Uni offerNamm namalizia hapa, ukipata bundle zuri nitag namm maana airtel ni mgeni kabisa,Vodacom wamenifukuza
-Umewahi ku consider OnePlus 5 ama OnePlus 5T?Kiongozi nisaidie list ni simu gani nzuri kwa upgrade kwa mtu anayetumia note 6 pro
1.Google Pixel 2
2.Oppo ?
3.Xiaomi ?
4.Iphone ?
Vigezo betri kubwa,Camera zaidi ya note 6 pro,Screen kubwa,Processor iwe Snapdragon kwa hizi android. Bajeti 500k hadi 700k ni kwa kuagiza nje sio Bongo.
Chief-Mkwawa
Nimechek ali hakuna oneplus 5 kuna 7 na kuendelea tu na pocophone naona hakuna wamezitoa na iphone labda ni ipi! Pia na k20 unaizungumziaje kwa bei ile-Umewahi ku consider OnePlus 5 ama OnePlus 5T?
Advantage ya OnePlus inakaa na chaji, processor ya ukweli snapdragon 835, ram 8GB Ni future proof, internal 128GB na pia ni rafiki wa developers.
Kioo chake Ni amoled, kizuri Kushinda wachina wengine Ila sio level za Samsung, kinapitwa na Galaxy za kisasa na camera yake sio nzuri kivile Ila sababu Ni snapdragon ya kisasa Kuna port za kutosha za Google camera. Inacheza around laki 6 AliExpress.
-kwa pixel 2 Ni simu nzuri, processor nzuri na Mambo mengi inatick Ila kwenye betri jamaa hata hawajali, Ni za kawaida tu.
-kwa xiaomi upgrade ya Note 7 Ni pocophone kwa hio budget, processor nzuri na performance ya kutosha sema display na camera Ni average.
-oppo sidhani Kama Ni brand nzuri kwa wanaotafuta budget smartphone, subbrand Yao ya Realme imetulia na wanatoa Simu nzuri kwa Bei nafuu, Realme 5 pro imetoka karibuni Ni nzuri, sema ni Kama tu zinafanana na Note 7 utofauti si mkubwa Sana.
iPhone Ni iPhone mkuu Kama unaipenda iOS nunua hawana mpinzani kwenye ecosystem yao. Ila camera na display huwa zinapitwa na flagship nyengine za mwaka mmoja.
Ipo madukani bongo. Kwa Arusha ipo benson,. Ipo pia OnePlus 6 na 6T iangalieNimechek ali hakuna oneplus 5 kuna 7 na kuendelea tu na pocophone naona hakuna wamezitoa na iphone labda ni ipi! Pia na k20 unaizungumziaje kwa bei ile
Nilikuwa SINGIDA a 2 weeks Ago,Airtel ilikuwa inafanya kazi vizuri tu Mkuu japo sio 4g ila ni 3g na H+ nzuri tu na line yangu niliibadiri.4G ya Airtel ipo Dar tu mm nipo Morogoro nimeenda Airtel makao makuu nikaambiwa 4G ya airtel ipo Dar tuu na ukijiroga kubadilisha line yako iwe ya 4G ukienda Mkoani internet haitofanya kazi itakuwa text & calls tu
Mimi inachezaga 2.2 hadi 2.8 Mkuu.Speed ilikua inafika 1.3 mBpsView attachment 1193031
Mkuu hao 4g bado hawajafika Arusha?Uko maeneo gani mkuu. Mie Niko Arusha Airtel 4G siipati
Sijawaona mkuu mpaka leo badoMkuu hao 4g bado hawajafika Arusha?