Airtel 4G is a disaster

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,377
17,385
Natumia laini ya Airtel. Wana vifurushi favourable ila 4G yao ni disaster. Iko very very slow.

Juzi hapa nilijaribu 4G ya Halotel iko safi ni kama ya Vodacom. Sijawahi kujaribu ya Tigo ila hii ya Airtel ni majanga.

Kweli vitu vya bure ni gharama sana.
 
Mbona Mimi natumia ya 3G yao na bado natiririka na naserereka nayo vizuri tu tena bila tatizo lolote halafu iko ' faster ' hadi raha?
 
Natumia laini ya Airtel. Wana vifurushi favourable ila 4G yao ni disaster. Iko very very slow.

Juzi hapa nilijaribu 4G ya Halotel iko safi ni kama ya Vodacom. Sijawahi kujaribu ya Tigo ila hii ya Airtel ni majanga.

Kweli vitu vya bure ni gharama sana.

Halotel wana 4g mikoa gani
 
Airtel hawana 4G Mkuu bado wana 3G nayo pia nitiamajitiamaji
Natumia laini ya Airtel. Wana vifurushi favourable ila 4G yao ni disaster. Iko very very slow.

Juzi hapa nilijaribu 4G ya Halotel iko safi ni kama ya Vodacom. Sijawahi kujaribu ya Tigo ila hii ya Airtel ni majanga.

Kweli vitu vya bure ni gharama sana.
 
Sijutii 4G ya Airtel....
yaan ni bomba sana iko faster, nikilinganisha na Tigo aah Airtel wako vizuri
 
Airtel 4G iko poa spidi ya wastani, ila mtandao hauko stable, internet inakata kata kila wakati
 
Back
Top Bottom