Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,287
- 483
Habar wandugu. Kautafiti kadunchuuuuu Nlioufanya, Nimegundua kuwa Smile Communication Ndio wanaoongoza
kwa sasa hapa Bongo kwa Internet yenye Speed kali.
Nilichukua Net zaidi ya 4 na kuzilinganisha kwa speed Meter ya Connectify Dispatch na yourspeedtest.net
nikapata haya Matokeo
NB: Sikuunganisha Modem nyingi. Nilitumia Modem Moja Moja.
LTE 4G Smile Comm; 14Mbps(Hii Ndio Speed iliyo display kwenye Connectify Dispatch.
ADSL Broadband ya TTCL; 1.7Mbps
VODACOM TZ; 3.6Mbps
Tigo TZ; 2.4Mbps
Airtel yatosha; 2.1Mbps
Zantel TZ; 3.4Mbps
hivyo basi Smile Telecomm ndio Jogoo la Mjini kwa Sasa. Kwa yoyote Mwenye kutumia RAHA/SASATEL/UHURU/SPICENET and other networks please tunaomba Mtujuze Maspeed Mnayopata illi tuweze kuchagua kile kilicho bora.