4G LTE From Smile Is the best Internet In BongoLand So Far

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
1,287
483
Habar wandugu. Kautafiti kadunchuuuuu Nlioufanya, Nimegundua kuwa Smile Communication Ndio wanaoongoza
kwa sasa hapa Bongo kwa Internet yenye Speed kali.

Nilichukua Net zaidi ya 4 na kuzilinganisha kwa speed Meter ya Connectify Dispatch na yourspeedtest.net
nikapata haya Matokeo

NB: Sikuunganisha Modem nyingi. Nilitumia Modem Moja Moja.

LTE 4G Smile Comm; 14Mbps(Hii Ndio Speed iliyo display kwenye Connectify Dispatch.

ADSL Broadband ya TTCL; 1.7Mbps

VODACOM TZ; 3.6Mbps

Tigo TZ; 2.4Mbps

Airtel yatosha; 2.1Mbps

Zantel TZ; 3.4Mbps

hivyo basi Smile Telecomm ndio Jogoo la Mjini kwa Sasa. Kwa yoyote Mwenye kutumia RAHA/SASATEL/UHURU/SPICENET and other networks please tunaomba Mtujuze Maspeed Mnayopata illi tuweze kuchagua kile kilicho bora.
 
hawa yatosha ni bure kabisa, kila siku net yao majanga bora express urself na hawa kazi ni kwako, voda hata 2g yao ipo poa sana, kwa mf mara nyingi nikiwa nje ya dar ambako hakuna 3g voda imekuwa ikitembea kamakawa,tatizo airtel hata wiki nne mb 20 hazitaisha maana nikama huwa imesimama tu.
 
duh sasa unalinganishaje 3g na 4g?

ni sawa mtu achukue 3g ya airtel then aeke voda, tigo, zantel ziwe edge halafu aclaim kuwa airtel ni noma nchi nzima.

tigo wanajaribu 4g voda pia wanatest dar katafute modem za majaribio then pima speed ndo ulete. au umetumwa na smile unaogopa watapitwa.

then kumliza anything below 50mbps ni 3g haina hadhi ya kuitwa 4g
 
Kama hao smile ndio the best network mbona true 4g speed awakupi maana hiyo 14mbps ni hspa+ which is still 3g .WAPUNGUZE UNAFIKI NA WASHUSHE IZO BEI !!
 
Bei zao zitasababisha hii kampuni kufa.
10GB -100,000
20GB - 150,000
50GB - 320,000
 
hamna kitu hao package zao za gharama niliwauliza juzi coverage yao bado sana,itachukua muda kujiimarisha.
 
GharAma zao za Bundle ziko juu. Ila kuna tetesi za chini kuwa washafanya feasibility study wakagundua kuwa gharama(Bundle) zao ziko juu ukilinganisha na Makampuni Mengine kama Voda na Zantel ambao hutoa 5GB kwa 20,000 tu wakati wao wanatoa 3GB kwa 36,000.

Au nikiwa na Modem ya Voda na zantel kama matumizi yangu kwa Mwezi yanazid 10GB basi naweza kuta 10GB kwa Tsh40,000 tu wakati wao watakuuzia 10GB kwa Tsh100,000.

Wanapaswa kuangalia viwwango vyao upya. Wakumbuke na Msemo usemao there's no hurry in Africa. Kwa hiyo issue ya speed hiyo ni added adv. Na watanzaniA wanachohitaji ni huduma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom