4G ipo bongo..tatizo device nyingi zina-support mwisho 3G
Nikiwa posta na baadhi ya sehemu hapa dar bb yangu
9900 huwa inaandika 4G na speed yake balaa(natumia tigo bb internet service)
Huawei e220 ina uwezo wa 3.7g? Cause sijawahi kupata 7.2mbps connection yet kwenye one site inasema its capable. Nipo karibu na mlimani city na nimeiflash kutmia Zantel.
nina uwezo wa 3MB/s ila sisemi natumia mtandao upi :madgrin:Ili upate 7.2 mbps lazma mtandao uwe unaprovide hivo kwa bongo speed za mitandao mingi ni 1mbps hadi 2mbps labda uvizie usiku sanaaaa ndo unaweza ukaifaidi hiyo 7mbps
Tigo 3G network wakati wa kudownload imefika mbali ni 68kb/s tena itokezee tu haina guarantee, lakini speed ya kawaida ya 3G ni 14kb/s sasa sijui kama kule duniani hii inaitwa 3G speed ama ni ka EDGE tu