Kitambo mkuuLeo Nmeshangaaa au Labda mimi Ndo Sjui ,Nmeshangaa Line yangu ya Airtel Imesoma 4G+ hii kitu Imekaaje kwan Tanzania Washalaunch 4g+?View attachment 1990258
Speed inasomaje.. na latency inasomaje?Leo Nmeshangaaa au Labda mimi Ndo Sjui ,Nmeshangaa Line yangu ya Airtel Imesoma 4G+ hii kitu Imekaaje kwan Tanzania Washalaunch 4g+?View attachment 1990258
Hapana mkuu sahz Airtel flesh tu nip iringa inasoma 4G flesh kabsaSio kwamba walilauch kwa Tigo Pekee?
Yaap nikweli kuna baadhi ya maeneo hakuna 4GHyo Ipo Chini Yake Yan 4G+ ipo Juu View attachment 1990271
😳 Mkuu una-mislead kaisome vizuri hiyo article, ni tofauti na ulivyo-translate wewe moja kwa moja neno behind kwenda kiswahili kwamba ni iko chini. Ni sawa tu na wangesema it’s a tech in support of 4G. 4G+ ni LTE-A (LTE - Advanced) ama LTE+ So it’s just one thing. Ni vile tu kampuni ya smartphone ilivyo-assign alama gani ita-appear pale juu kutegemea na aina ya chip pia. Nikiweka Laini yangu kwako itasoma 4G na yako kwangu itasoma LTE.Hyo Ipo Chini Yake Yan 4G+ ipo Juu View attachment 1990271
Kwahiyo unataka kusema kwa maeneo yasiyo na 4G itasoma LTE kulingana na alivyo-mistranslate yeye 😳Yaap nikweli kuna baadhi ya maeneo hakuna 4G
Bado wanahangaika na 4G+ badala ya kwenda 5GNamaanisha 4G + sio 4G kavu Mkuu
Samsung gani hii unayotumiaLeo Nmeshangaaa au Labda mimi Ndo Sjui ,Nmeshangaa Line yangu ya Airtel Imesoma 4G+ hii kitu Imekaaje kwan Tanzania Washalaunch 4g+?View attachment 1990258