DAMAS EDWARD
Member
- Aug 14, 2012
- 12
- 2
Hello Wana JF
Nina Tv ya samsung inch 43, imeniletea langi mbili tofauti, tatizo litakua nini?
Nina Tv ya samsung inch 43, imeniletea langi mbili tofauti, tatizo litakua nini?
Kwani haina warranty mkuu? Rudisha kwa dealer kama bado hujaifungua.Hello Wana JF
Nina Tv ya samsung inch 43, imeniletea langi mbili tofauti, tatizo litakua nini?
View attachment 500342
Kwani haina warranty mkuu? Rudisha kwa dealer kama bado hujaifungua.
Basi fanya kuirudisha kuliko kulea hiyo shida na wakati warranty cover yako ipo active. Shida ingekuwa kama warranty imeisha maana hawa mafundi wetu wa kitaa ni kwikwi.Ina warrant bado miezi mitatu, hizi tv za samsung huwa zna haya matatizo?
Asante kwa ushauri, picha nyeusi inasaidia pia?kama ina warranty ni vyema irudishe,
au jaribu kutafuta flash ieke picha nyeusi halafu chomeka kwenye tv then iache hio tv ionyeshe picha nyeusi kwa muda mrefu inaweza solve hilo tatizo.
ieke=iwekekama ina warranty ni vyema irudishe,
au jaribu kutafuta flash ieke picha nyeusi halafu chomeka kwenye tv then iache hio tv ionyeshe picha nyeusi kwa muda mrefu inaweza solve hilo tatizo.
yah husaidia kwenye vioo vya led/amoled/oled sababu vikionyesha rangi nyeusi pixel zinazimika.Asante kwa ushauri, picha nyeusi inasaidia pia?
planett= planet huko shuleni huwa mnaenda kujifunza ujinga?ieke=iweke
Hivi huko shuleni huwa mnaenda kujifunza ujinga???
Hahahaaaaa kumbe nawe umo?planett= planet huko shuleni huwa mnaenda kujifunza ujinga?
Hapo ina tatizo gani?Ina warrant bado miezi mitatu, hizi tv za samsung huwa zna haya matatizo?
Sijajua inawezekana cz sio muangaliaji sana wa tv, kuangalia labda weekend tu so sijui shida itakua nn mkuuAma ulikua unatumia aspect ratio ya 4.:3 sana. Mana wanasema sio nzuri inaharibu screen. Tumia 16:9
Sijajua inawezekana cz sio muangaliaji sana wa tv, kuangalia labda weekend tu so sijui shida itakua nn mkuu
Nilirudisha Dukani, imerudi Samsung, nasubiri majibu kutoka kwao. ila inavyoonekana tv nyingi kubwa za model hiyo zinarudishwa cz niliwapigia cm juzi wakasema imerudi jana nyingine so sina imani na hizo tv tena, cjui kama watakubali ila nataka LGhata mi lilinisumbua hivo hivo nikarudisha ilikua haina hata mwezi ..tukasumbuana nikapewa nyingine ila sina amani kabisa .. Nataka nijipange nichukue LG tuu
Nimeirudisha dukani kaka, nasubiri majibu kutoka kwao.View attachment 500958
Embu kwenye rimoti bonyeza TOOLS alafu itakuja menu..hapo kwwnye PICTURE SIZE iwe 16:9