4.Sexless's laws of relationship

4.Sexless's laws of relationship

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,696
Reaction score
65,333
Siku hizi watu wanalia sana kuhusu mahusiano. Hii NGO iitwayo sexless inayoshughulika na masuala mtambuka ya mahusiano na ukungwi imekuja na kanuni kuu 3 ambazo zitasaidia kuepusha maumivu yatokanayo na mapenzi

1. Kuoa/kuolewa ni sawa na kuvaa bomu ambalo hujui settings zake, muda wowote linaweza kukulipukia.

Bomu hapa ni huyo mume/ mke uliye naye. Na settings ni malezi ya huyo mke/ mume wako. Unayajua malezi (setting) yake?

2. Kuoa/kuolewa ni kuendekeza ubinasi ambao binadamu hajaumbiwa.

Yaani unaoa/unaolewa ukitaka huyo mume/mke awe wako peke yako. Ndg yangu hilo kamwe haliwezekani, maana binadamu is a social animal. Yatakushinda tu.

3. (Hii ni kwa wanaume tu). Kuoa mke mzuri ni sawa na kulima tembele ndani ya zizi la mbuzi.

Mbuzi hapa anawkilisha wanaume wenzio, zizi ni eneo/mtaa unapoishi na tembele ni huyo mkeo mzuri. Hivi unatarajia mbuzi hawatakula hilo tembele? Namaanisha hautachapiwa?

Nchi za kiarabu kwa kulijua hili wakaamuru mwanamke asiende shule, sokoni, viwanjani na migahawani/mahotelini wana milango yao. Sasa wa kwako ni mzuri alafu kila uchwao yuko kazini, kwenye upatu, mara saloon, sijui kaenda kwa shoga yake. Ndugu yangu unachapiwa.

4. (Hii ni kwa wanawake tu). Hakuna mwanaume asiye chepuka.

Hii ni kanuni asilia kabisa wala haihitaji mjadala. Mwanamke 1 hamtoshelezi mwanaume. Waislaam walitaka kulitatua hili kwa kuruhusu mwanaume aoe wake 4 lkn bado hawatoshi. .

Angalia hata ratio ya jogoo na mitetea, dume la ng'ombe na wale jike,.n.k. Kwahiyo kama kuna mwanamke anadhani kaolewa na mumewe hachapi nje bora akapimwe akili.
 
Back
Top Bottom