4 pcb, cbg & pcm takerz graduatec 2012 only | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

4 pcb, cbg & pcm takerz graduatec 2012 only

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by enoc, Aug 17, 2012.

 1. e

  enoc Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jaman kuna kachuo kameongezwa 2nd round selection n kabranch cha SAUT kako Songea kana doctor of medicine so kama pcb na cbg unaomba through tcu kwa walio kosa na kama ulshachagua chuo kngne unapga mshe ya kuhama mana cutoff itakua ndogo sana hata 2.5 unapata, kwa wale wa pcm unaomba directry kwa chuo.
   
 2. majuto mperungu

  majuto mperungu JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 394
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  doctor of
  medicine 2.5 simtauwa wagonjwa nyie
   
 3. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Zile za UDOM!
   
 4. e

  enoc Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ulsha ckia clinical-officer kaua m2 kwa elm yake, je wanao kwenda kusoma nchi za md wanakua na ngap na waksha ukwaa umeckia wameua wangap?
   
 5. La Cosa Mia

  La Cosa Mia JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  sijakuelewa? Unataka kusema wanaosoma nje medicine hawana points nzuri au? Maana mi mmoja wapo ndugu na nitakuomba unitake radhi....ushafanya uchunguzi kuhusu utendaji wa clinical officers? Wanafanya mismanagements za kipumbavu sana ila kwa sababu wananchi hamna elimu mnadhani wako vizuri...juzi wameua binti wa watu buguruni kwa kushindwa kutambua severe anemia japo kwa macho tu....2.5 kwa md hapo kazi ipo...
   
 6. majuto mperungu

  majuto mperungu JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 394
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Nashukuru mkuu kwa kumwonyesha njia kipofu
   
 7. Jackie..

  Jackie.. Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MD kwa 2.5 tutapata bora madaktari na si madaktari bora
   
 8. La Cosa Mia

  La Cosa Mia JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  waache waendelee kuibaka elimu ya afya, muda utaongea...sielewi kijana anayeshindwa kupata angalau D ya biology a-level atawezaje mziki wa medical school?..
   
 9. La Cosa Mia

  La Cosa Mia JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  maisha bora kwa kila.....
   
 10. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mbona ma PGM tumesahaulika??
   
 11. La Cosa Mia

  La Cosa Mia JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  na wewe unataka medicine?au umekosa chuo? Usiwe na hofu,apply chuo cha mdau hapo juu hata kama una pointi 2...
   
 12. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ila hebu tuongee kikubwa MD kwa point 2? hawa si ndo wanao acha mikasi matumboni..
   
 13. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  dah! point 2 ni udhaifu mkubwa sana mkuu..hao ndo wale wa opareshen ya kichwa badala ya mguu..hii taaluma ya udaktari wamesha anza kuidharau sana mbona pharmacy admission points ni kubwa vyuo vyote me nadhani vyuo vyote vya udaktari admission ingeanza angalau 5 points
   
 14. e

  enoc Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  @la costa. Hv had uwe daktar c unakua umesoma na kufanya fld sasa kama hatakua hajapac coz yake atakuaje doctor na swala la 2.5 c kua hawez bal pac ndogo hata pia m2 mwenye dv.4 yenye credt 3 anweza kupata nafac advanc akapo4m fresh Kulko alye kua n pac ya maana ka div.1 o 2? Na swala lakusoma nje asilimia kubwa wanakua na cutoff ndogo so c wote na hapo zaman walkua wale wanaohkosa muhas hilyo kua taw la udsm mana palkua hapana chuo chengne kabla ya kcmc moshi, Swala la wa2 kufa kwa uzembe wa dactor la kawaida katka kaz sio kwamba n kwasababu ya elm walyo nayo ila axdent ktka kaz hata maruban wazoef wanaangushaga ndege na pia madreva wazoefu vle vle. Mkuu ciamn ka ww unasoma md na ka unasoma kwel bac hujaemeelmka mana ungekua ungelielezea swala hl ksom na c klockal ka hv mana ungeeleza elm ya tz ilvo kua highly composed by theory na cpractical samahan ka ntakua nmekuudh kwa kutumia neno 'hujaelmka' mana lengo n kukutaka angalau uwe na GT vision. nasbmt
   
 15. Mnyamwezi wa Urambo

  Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Umesema hadi CBG wanapokelewa hapo kwaajili ya kusomea medicine?Halafu cuttoff point ni 2.5 kwa masomo mawili yaani E ya chemistry na Biology na S ya GS? Kweli hii serikali kiboko naona wameanza hujuma mapema kuishushia hadhi taaluma ya udaktari ili na wao waanze kuonekana kama kada nyingine!Chezea magamba weyeeeee!!!!
   
 16. Jackie..

  Jackie.. Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaoacha mikasi tumbo ni point 4 ....point 2 wataacha na glovs kabisa
   
 17. e

  enoc Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamn mmennot vbaya cjasema kua cutoff n 2.5 ila nmesema "hata wenye 2.5 wanaweza wakapata" c vingnevo wakuu lakn cutoff n 4.5.
   
 18. e

  enoc Member

  #18
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  jac Na wewe pia umesoma 2komb twe2 hutwo? Kwa kwel kama n m2 ambaye amesoma science advanc unafahm fka hzo mambo lakn ka ulhkimbia science tangu 4m 3 uwez kupata pcha kwa mtazamo wa kujvuna ka 2lio nao walio fel scienc ktambo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Jackie..

  Jackie.. Member

  #19
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimesoma pcb enoc au nikupe exam namba ukaangalie necta
   
 20. majuto mperungu

  majuto mperungu JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 394
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  wewe ulistahili husome hkl nashangaa pcb umefuata nini
  kwa sababu unamaneno mengi sana
  hapo ulibaka kombi
   
Loading...