Kilana,4m4liver! Ushauri wa bure- kuna wanaomaliza shule mwezi ujao wasubirie! Mh?
Umesahau kibila...
Mbona hujiamini...umeambiwa 4 ladies only
Umesahau kibila...
aiseeh! Atakuwa la7liver!
aisee watu mna macho duuu. nimecheka kweliKilana,4m4liver! Ushauri wa bure- kuna wanaomaliza shule mwezi ujao wasubirie! Mh?
Mungu na akupe sawa na haja ya moyo wako.......!
Sasa kuandika hujui, english hujui, kutunza utaweza c ndio unatuolea tukupigie
Hi, mimi ni kilana wa miaka 27.elimu yangu ni 4m4liver. ninaishi Mwanza kwa mara ya kwanza napita ktk jukwaa hili kutafuta mchumba ambaye nitaishi nae maishani sichagui elimu , dini na kibila umri kuanza miaka 18 hadi 22. Awe anaishi Mwanza na wilaya zake au Mara . Naomba tuwasilane kwa 0756506024 .ahsante na Mungu atatubariki.
Kilana,4m4liver! Ushauri wa bure- kuna wanaomaliza shule mwezi ujao wasubirie! Mh?
Tittle ya thread inasema 4 ladies only lakini kwenye contents unasema unataka 1 lady only.Mbona unajichanganya kijana?
AMINA kubwaa!