4.9 GPA ya ICT and ACCOUNTING

4.9 GPA ya ICT and ACCOUNTING

badali

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2017
Posts
212
Reaction score
81
Naomba kuuliza je kwa GPA hiyo hapo juu naweza kupata ARDHI UNIVERSITY?
 
Nimemaliza diploma na kupata hiyo GPA ya 4.9 so naweza kudahiliwa kwa hii awamu ya pili ardhi university?
 
Diploma niliosoma ilikua ni ICT and ACCOUNTING,
Nataka niombe information management system au accounting and finance
 
Sijui labda ardhi wanao siku hizi ila navyo jua vyuo vinavyo weza kukuchukua ni Tia
 
Diploma niliosoma ilikua ni ICT and ACCOUNTING,
Nataka niombe information management system au accounting and finance
Umesoma chuo gan hiyo diploma?

Kama unaweza kasoma software engineering au computer science... IT achana nayo...
 
Hvi mtu anapataje 4.9gpa ina maana kila somo kapata 99% , maana chuoni kwetu anaepata A zote za 76 ana gpa 4.4
 
Basi na nyie nendeni mkazawadiwe
 
6deb836ff29090296eba5a377f1a41f5.jpg
 
Kweli balaa umesoma ICT unashidwa hata kujua kozi za ardhi ina maana hata website yao huijui? Ufatilie kozi zao? ICT uliyosoma imekusaidiaje hapo mkuu?
 
Hongera boss japo hii GPA haiwezi kuwa imetoka kati ya vyuo vifuatavyo: SUA, ARDHI, D.I.T, MZUMBE, MOCU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom